Arsenal 3 Swansea 2
3 points za uhakika.
Tottenham?
Man city?
Daaah. Nzuri kwetu.Wote wame draw mpwa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nasubiri kipyenga cha mwisho tu nije hapa
Kuna mtu humu alisema hawa Swansea kuna button yetu moja huwa wanaijulia sana. Wanachofanya ni kupress tu.hawa swansea washenzi kweli, wame fanya niangalie mpira kwa jicho moja so mchezo
hawa swansea washenzi kweli, wame fanya niangalie mpira kwa jicho moja so mchezo
Theo Walcott celebrates scoring Arsenal’s first goal against Swansea
Laana ya Yaya Toure haitamuacha Pep....