Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Pole sana huwa inaudhi sana hali hiyo ya kujua ushindi na 3 points kapuni halafu kibao kinageuka.
Leo nusura mambo yaharibike mshukuruni Refa hakuona
....... ungelala mzungu wa tano kama siyo wa nne
 
Ndiyo sababu unapokesekana kwenye majukwaa haya huwa kunapwaya, ujitahidi kupita huku kuja kuongeza uhai kwenye majukwaa husika.

Cha ajabu kuna shabiki wa simba na arsenal anashangilia goli la leo ili hali jana kanuna,,,
Mungu huwaumbua watu kwa unafiki wao na hap ndo utagundua kumbe umbumbumbu upo!
 
Ndiyo sababu unapokesekana kwenye majukwaa haya huwa kunapwaya, ujitahidi kupita huku kuja kuongeza uhai kwenye majukwaa husika.
Hahaha nafichwa, yaani kama Wewe ulivyofichwa msimu uliopita nilikumiss mbaya
....... jamani Wacha1 yupo hai ?au ana ID nyingine? ......nimemmiss sanaaaaaa!!! Vicheko hakuna, BAK mwenyewe anacheka haweki wino mwekundu kama Wacha 1
 
Reactions: BAK
Haya bhana kufichwa kwema, njemba itakuwa inafaidi sana lol! 😉😉😉Wacha1 sijui kapotelea wapi huyu alikuwa ananifurahisha sana na khe khee kheeeeeee zake sasa zimerithiwa na wengi humu ikiwemo mimi. Pamoja na kufichwa mwambie huyo mfichaji weekend na labda Jumatatu huwa unapenda kujirusha JF angalau kwa masaa machache uje uchangamshe majukwaa haya mwanana.

Hapana mkuu hawajang'oa kwani wao ni wastaarabu sana vp ulidhani labda wataiga ujinga wa mashabiki wa mikia nn???
 
Najitolea kumsaka Wacha1 kwa kweli amekosekana sana hapa.

Halafu ntawapa mrejesho.

😉
 
Najitolea kumsaka Wacha1 kwa kweli amekosekana sana hapa.

Halafu ntawapa mrejesho.

😉

Chief kama utahitaji msaada kwenye zoezi lako nipo hapa kusaidia na kuongeza nguvu,ndugu yetu kapotea mwishoni mwa msimu uliopita kama utani vile.
 
Chief kama utahitaji msaada kwenye zoezi lako nipo hapa kusaidia na kuongeza nguvu,ndugu yetu kapotea mwishoni mwa msimu uliopita kama utani vile.

Sawasawa Wacha1 amepotea sana tumtafute.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…