Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Lakini viungo wenu wanafunga magoli mengi.

Wanafunga sawa...Ndo maana wanaumia mnoo,wanafanya kazi mara mbili kuzuia mashambulizi,kupanga mashambulizi na kwenda mbele kufunga....Tunahitaji mshambuliaji sasa,aina ya Ian Wright,Dennis Bergcamp,Nicolas Anelka,Thiery Henry,Didier Drogba,Wayne Rooney ama Fernando Torres
 
Na hiyo ni London derby kumbuka, lakini sio wazuri sana away. After all Chelsea watakuwa mabingwa tayari...lol

Itategemea na matokeo ya mechi zenu na Aston Villa,Tottenham,Man Utd na Liverpool...Kila la heri though
 
quote of the day:

 

Early shower ... .. Dismissed: Boateng
was sent off after receiving a second booking
for a dangerous tackle on Sagna






From Russia with love:
Arshavin gave Arsenal the lead early on in the first half.




Great Dane: Arsenal players mob goalscorer
Bendtner after his late winner




Head in hands: Boaz Myhill could only parry
Denilson's shot which led to Arsenal's dramatic stoppage-time winner


Majuto Mjukuu


 
haya wakuu endeleeni salama kwenye kumalizia weekend.

tusisahau kumshangilia clottey leo muafrika mwenzetu anapopigana na pac man.najua pac-man ni noma lakini nitamshangilia clottey leo.
 
Mimi sio ManU mr, hauwezi hata kuona avatar yangu?! Kesho ninawashabikia jirani zangu Fulham.

Ahsante kwa kunishtua unajua hizi Avatar mimi huwa sizichunguzi sana LOL!...kumbe na wewe ni wa darajani eh! Hongera sana kwa ushindi mnono lakini ujue bado tunawakoromea kooni mkiteleza tu tutawawashia indicator.
 
Man City sio mechi kubwa kwetu, labda kwenu Arsenal.

Hahaaaaaaa,haya bana....Mwenzio Masanilo alipotea kabisa jukwaa la Darajani baada ya mechi yenu na Man City(huju ni kwa nini)???...Halafu unajua kwa The Big four ninyi peke yenu so far ndo mmechapwa bao 4 kwenye mechi moja(wengine Arsenal,Liver na Man Utd twachapwa 3 tu mwisho) hahahaaaaaaa(utani tu huu jirani)
 
Ahsante kwa kunishtua unajua hizi Avatar mimi huwa sizichunguzi sana LOL!...kumbe na wewe ni wa darajani eh! Hongera sana kwa ushindi mnono lakini ujue bado tunawakoromea kooni mkiteleza tu tutawawashia indicator.

Hongera na wewe, naona mmebakiza mechi za vilema tupu mshindwe wenyewe.
 
4-2=2 au umesahau hisabati, Man Citeh wametufunga 2 bila, ...lol
Lakini kumbuka na nyie mlivyoburuzwa na na wakubwa zenu Chelsea na ManU?
 
ahsante kwa leo, ngoja nichungulie kwenye siasa nione kama kuna issue leo.
 


The Russian silences the crowd








The challenges are flying in! Sol Campbell and Kamil Zayatte clash in a 50-50, Zayatte comes out worse off and has to be replaced.





Hull City supporters show their dislike for Arsenal with a banner.





Theo Walcott comes off the substitute bench in the second half to help Arsenal push on for a second goal.





Just when Hull thought they'd earned a vital point, Myhill palms a Denilson shot to Nicklas Bendtner, who fires in off the turf to grab a winner.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…