Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Labda lkn alimjaribu theo akashindwa

Nadhan ni muda wa sanchez sasa...

Binafs ningependa acheze mshambuliaj wa kati.....pemben wabaki Iwobi, chamberlain,walcoth na ramsey
Ramsey hapana aendelee kuumia till the end, sasa hivi mzee amefanikiwa kwa kumuanzisha sanchez pale lakini najua kabisa kwamba sio namba ya kudumu kwake amekua kama geresha tu pale ndio maana kuna wakati utaona anatokea pembeni while iwobi anajisogeza kati kati yani sio jambo ambalo unaweza count kama alexis ni permanent striker.. sanchez ni mchezaji anaependa sana kukimbia na mpila na mtafutaji mzuri sana,kumeweka kama striker ni swala la muda tu
 
Tusubiri tuone nachofurahishwa na sanchez anajua kufunga
 
Marc Overmars, Denis Bergkhamp, Giovan Van Bronckhorst, Patrick Vieira....and the list continues
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…