Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hahaha hahaha nacheka kwa rahaa
 
Wewe mwenyewe hushangai ID yako?
Issue ni ID mpya sio of all those 3-0 naona PRONDO na mwenzio mmekomalia ID sasa semeni mlitakaje niende kwenu kule nidai mimi ni man u!? ID yenye mashaka ni ile ya mou pale OT na subirini bado nyie kichapo hiki ni mtaa kwa mtaa
 
Ninachokiona kwa wenger

Anataka kumbadili sanchez jumla awe namba 9

Winga atabakia Iwobi, walcoth,alex chamberlai n,.

Sasa itakuwa ushindan kati ya perez,giroud na sanchez

KUNAKOELEKEA SANCHEZ ATAIZOEA NAMBA 9
 
Ninachokiona kwa wenger

Anataka kumbadili sanchez jumla awe namba 9

Winga atabakia Iwobi, walcoth,alex chamberlai n,.

Sasa itakuwa ushindan kati ya perez,giroud na sanchez

KUNAKOELEKEA SANCHEZ ATAIZOEA NAMBA 9
Sidhani mi nafikiri ni opponent mindset game tu
 
ila mi naona Sanchez hakiwa winga anakuwa na madhara zaidi kuliko kuwa MTU wa mwisho
Ni kweli ila kwasasa tuna winga nyingi , fikiria akipona ramsey ...i abid tuwe na option 3 za washambuliaji wa kati ...kuliko kuwategemea perez na giroud

Wenga alishafanya hivo kwa Thiery henry ....

Alikuwa winga mzuri lkn alipozoeshwa namba 9 alitisha sana

The same robin van persie
Alikuwa winger mzuri hata timu ya taifa
 
Ni kweli ila naona sasa hivi lile tatizo LA kutokuwa na kiungo imara wa ulinzi linaondoka...namtamani sana Mdn city
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…