Which one do you fear the most among those?Hahaaaaa...West Ham United(Home),kisha wanafuata Birmingham(Away),Wolverhampton(Home),Tottenham Hotspur(Away),Wigan Athletic(Away),Manchester City(Home),Blackburn Rovers(Away) na tunamaliza ligi na Fulham nyumbani Imarati...Patamu hapo
Which one do you fear the most among those?
kabla mechi kuna post niliweka na nilisema kwamba mechi ngumu ya leo.mpira dakika 90 na tumemaliza tumepata ushindi.Umeshasahau mara hii umetaka kufanywa nini na Hull wakiwa 10 kwa almost an hour??!! Hakuna mechi rahisi my broda!
Which one do you fear the most among those?
mie naogopa spurs (i hope lennon atakuwa ajarudi bado lol) na man city kwa vile ni watu wa counter attack.Kiukweli hapo nahofia game 2 tu..ya Tottenham na Fulham basi(twaweza toka sare)....Thank God mshambuliaji wetu Robin VP atakuwa karudi na mausongo ya kumwaga,pia Gallas....Man City najua wanafungika tu Imarati
Kiukweli hapo nahofia game 2 tu..ya Tottenham na Fulham basi(twaweza toka sare)....Thank God mshambuliaji wetu Robin VP atakuwa karudi na mausongo ya kumwaga,pia Gallas....Man City najua wanafungika tu Imarati
mie naogopa spurs (i hope lennon atakuwa ajarudi bado lol) na man city kwa vile ni watu wa counter attack.
fulham mbaya nyumbani kwao away hatishi wala nini.
What about Blackburn and Birmingham?Kiukweli hapo nahofia game 2 tu..ya Tottenham na Fulham basi(twaweza toka sare)....Thank God mshambuliaji wetu Robin VP atakuwa karudi na mausongo ya kumwaga,pia Gallas....Man City najua wanafungika tu Imarati
Wenger wapige darsa watoto hao,naona bado wanaleta leta utani game leo walitakiwa waimalize mapemaa.
sema pengo la Song linaonekana na tunashukuru kamaliza kifungo chake anarudi.fabregas nae atakuwa tayari mechi hijayo.
What about Blackburn and Birmingham?
Lakini viungo wenu wanafunga magoli mengi.Tatizo Arsenal hatuna mshambuliaji kwa sasa,mshambuliaji RVP ni mgonjwa,hawa wengine sijui niwaite viungo ama,maana hawana kabisa uchu wa magoli mithili ya Rooney,Drogba ama Torres,hawa wao ni kutaka tu kumpiga chenga mpaka kipa ndo wafunge...Tunahitaji mshambuliaji anayejaribu kufunga hata akiwa nje ya 18(angalia goli la 2 leo ilitokea jamaa(Denilson i think) kajaribu nje kabisa ya 18 kipa katema Bendtner kafunga kiulaiiiiiini),tunahitaji mshambuliaji mwenye nguvu sasa...
mie naogopa spurs (i hope lennon atakuwa ajarudi bado lol) na man city kwa vile ni watu wa counter attack.
fulham mbaya nyumbani kwao away hatishi wala nini.
What about Blackburn and Birmingham?
Fulham nawaogopa kwa sababu ni game ya mwisho so lolote laweza kutokea
kweli kabisa mkuu,na wanacho nishangaza mimi nafasi za kupiga mashuti ya nje ya 18 wanapata nyingi tu sema ndio ubitozi unawafanya wanatoa pasi hata kama mtu kakabwa.Tatizo Arsenal hatuna mshambuliaji kwa sasa,mshambuliaji RVP ni mgonjwa,hawa wengine sijui niwaite viungo ama,maana hawana kabisa uchu wa magoli mithili ya Rooney,Drogba ama Torres,hawa wao ni kutaka tu kumpiga chenga mpaka kipa ndo wafunge...Tunahitaji mshambuliaji anayejaribu kufunga hata akiwa nje ya 18(angalia goli la 2 leo ilitokea jamaa(Denilson i think) kajaribu nje kabisa ya 18 kipa katema Bendtner kafunga kiulaiiiiiini),tunahitaji mshambuliaji mwenye nguvu sasa...
lol huwezi kujua labda tutakuwa tumesha vishwa cheni zetu loool.Fulham nawaogopa kwa sababu ni game ya mwisho so lolote laweza kutokea