Arsenal watakuwa aware na conter attack za Chelsea ambao wana Fabregas, Willian na Hazard. Diego Costa atakuwa anapewa long balls za hawa wachezaji watatu.
Itawasumbua Arsenal mwanzoni lakini kadri muda utakavyokwenda Arsenal bila kujibu uchokozi wa Costa wataweza kuwadhibiti Chelsea.
Ngoma inaweza kuishia na sare au mmoja atakaeanza kufunga,bado goli linaweza kurudishwa kutokana na kasi ya mchezo wa timu zote mbili.