Mnastahili droo na si zaidi wandugu.......ili mtuache Manchester tushindane wenyewe kwa wenyewe.
Dah mimi hii mechi nimeimiss....hapa najiandaa niende kanisani kwenye misa ya harusi ya broo.Nipo mbele ya luninga kuangalia huu mchapo ambao tuliusubiri kwa hamu kuu. Results nizitakazo ni draw ya 0-0, lakini hawa Leicester wameanza kufanya madudu yao kama yale waliyoyafanya mwaka jana. They want to prove to prove to the whole football World that it was not a fluke, but they are for real. Wakiweza kucheza kama timu leo basi kazi mnayo tena si ndogo. Enjoy the game guys...all JF football fans.
Dah mimi hii mechi nimeimiss....hapa najiandaa niende kanisani kwenye misa ya harusi ya broo.
Natumai nitapata updates zote hapa......na ushindi ni wetu.
Asante ngoja tukacheze ligambusi.Harusi njema.
pole kijanaDuh, mambo gani tena hayo! Dkk ya 45 man u4, leicester0!!?
Kwa nini Xhaka anaanza bench?Arsenal vs Chelsea:
Team news
Arsenal: 33 Cech 24 Bellerín 20 Mustafi 6 Koscielny18 Monreal 34 Coquelin 19 Cazorla 14 Walcott 11Özil 17 Iwobi, 7 Sánchez
Bench: 3 Gibbs 9 Pérez ,Martinez, 12 Giroud,13 Ospina,15 Oxlade-Chamberlain, 16 Holding, 29 Xhaka
Mwamuzi ni Michael Oliver.
Kwa nini Xhaka anaanza bench?
Xhaka laka mzee wa mashutKwa nini Xhaka anaanza bench?
Kazi kwenu sasa....
Arsenal vs Chelsea:
Team news
Arsenal: 33 Cech 24 Bellerín 20 Mustafi 6 Koscielny18 Monreal 34 Coquelin 19 Cazorla 14 Walcott, 11Özil 17 Iwobi, 7 Sánchez
Bench: 3 Gibbs 9 Pérez Martinez, 12 Giroud,13 Ospina,15 Oxlade-Chamberlain, 16 Holding, 29 Xhaka
Chelsea: 13 Courtois 2I vanovic 24 Cahill 30 DavidLuiz , 28 Azpilicueta, 7 Kanté, 21 Matic, 22 Willian, 4 Fàbregas, 10 Hazard, 19 Diego Costa
Bench: 1 Begovic, 3 Alonso , 8 Oscar, 11 Pedro, 15 Moses, 23 Batshuayi, 29 Chalobah
Mwamuzi ni Michael Oliver.
Ila leo kama tutakuwa na concentration tunashinda game sema Fabregas ndo atatusumbua kama ataanza