Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Chelsea wana wasiwasi leo wanajua 3-0 lazima wapigwe leo.
Hamna chelsea anashinda leo..........

Ingawa natamani mtoke droo ili Manchester ipate nafasi ya kurudi juu.
 
Reactions: BAK
Ngoja mvurugane wenyewe si tusogee juu kidogo......[HASHTAG]#YNWA[/HASHTAG]
 
HAHAAAA mbali ipi unayozungumzia wewe? hapa penyewe tulipo ni mbali kutufikia wewe sio leo.

Sijawahi kukupinga sababu sisi ni wazee wa nafasi ya nne af wee ni mzee wa nafasi ya nane na saba au sio bigwa


Ntajitahidi nisogee sogee walau nibadiri mzingira vipi wewe huko utatoka lini twende uefa!?
 
Unakumbuka ile kauli yako, Mungu anakuona? Lol! Bado tunasajili wapenzi gunners kama MANU wakiendelea kukupa maumivu ya kichwa karibu sana emirates.
Emirates nitakaribia endapo nitabahatika kupanda ndege zao....vinginevyo siji uko.
 
Draw ni majanga kwetu sister, lazima tumchape mtu goli tatu ili tuendelee kula sahani moja na MANC.
Mnastahili droo na si zaidi wandugu.......ili mtuache Manchester tushindane wenyewe kwa wenyewe.
 
Reactions: BAK
mkafanye nini? wenzenu wakienda wanaondoka na ndoo, nyie toka mmeanza kuenda mmefaidika na nini?
Na ukiwauliza mara ya mwisho wamechukua lini hiyo ndoo hata hawakumbuki......wao kazi yao ni kukamilisha ratiba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…