Arsenal (The Gunners) | Special Thread


Arsenal’s Lucas Perez, centre, celebrates scoring their third goal with Jeff Reine-Adelaide, left, and Chuba Akpom
 

Alex Oxlade-Chamberlain of Arsenal scores his team’s fourth goal
 

Arsenal’s Chuba Akpom is brought down in the area by Nottingham Forest’s Michael Mancienne resulting in a penalty ...
 

Which Lucas Perez converted to double the Gunners’ lead.
 

Arsenal’s Granit Xhaka thumps in the opening goal of the game.
 
|Forest vs Arsenal....
Talking points...
1.Jana ktk mechi ya kombe la EFL,Arsenal aliipiga Forest goli 4-0,magoli yaliyofungwa na Xhaka,Lucas Perez na the The Ox.
2.Xhaka kwa mara ya pili mfululizo anafunga goli la shuti la mbali ,almost zaidi ya mita 20....for once,timu sasa ina long distance shooter.
3.Lucas Perez,katupia 2, na katoa assist moja...what a contribution...magoli haya yatampa sana confidence..
4.Arsenal sasa inaingia katika hatua ya last 16 kwenye mashindano haya....ninachokipenda kwenye mashindano haya,wachezaji wetu wengi watapata game time...(mind you,tuna kikosi kikubwa sana sasa hivi)
Lets wait n see...tunacheza na nani raundi inayokuja...
~COYG
 
Arsenal tunakimbiza mwizi kimya kimya
tukimkalisha chelsea itakuwa poa sana
Tatzo la wenger hachelew kuvurugwa na joto la game..
Kumchezesha sanchez as a striker ni kosa kubwa sana kwenye sekta ya mashambulizi.. Ampe nafasi perez aoneshe kumuamin, kijana afanye yake.. Wenger anakuwa mtu wa kuangusha wachezaji wapya, anawasugulisha benchi kwanza, upande mwingine yuko sawa ila upande mwingine inaweza kumuharbia saikolojia mchezaji..

The gunners for life
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…