Mkuu: ukijiona umesimama, angalia usianguke!View attachment 403483kupatwa kwa wenger[emoji16][emoji16][emoji16],
Nawasalimia tu majirani
Ahsante sanaMkuu: ukijiona umesimama, angalia usianguke!
Kila Masika na Mbu wake.
Alievaa msuli ndio anajua ndani kuna nini!
Usimuonee huruma Kobe, ndio mwendo wake!
Haina bigger impactBahati mbaya kwangu nimeshindwa kucheki hii game [emoji24][emoji24]
Wakuu mnakumbuka usajili wa Sol Campbell kutoka Tottenham Hotspurs kwenda Arsenal mwaka 2001?
Lucas Pereeez
Anafunga dakika ya 71
Arsenal 3 up game over.
Nimepita tu kuwapongeza majiran zangu. .. Hongereni sana. ..
Duh naona kama unakunywa maziwa vile unavyofaidi