Oxlade-Chamberlain
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 8,635
- 2,209
jamaa ulitizama mpira? dakika 6 nyongeza nyingi kati ya hizo zimetokana na mpira ulipo simama wakati mchezaji wa hull pale alipokuwa anatibiwa au hukuona?Mbona ManU akishinda kwenye dakika hizo mara nyingi mnatoa vilio?!
yaani mpaka dakika ya 98 ndio mnafunga timu iliyo mkiani na yenye wachezaji 10 kwa more than half of the game?!
Wazee wa kulialia, mpira haujauona lakini umeshalia kwamba refa kawaonea!! Damn! This is too much now! Refa anatuonea, my foot!Hongereni jamani nilikuwa kwenye pilika pilika lakini kuna kitu lazima sasa tufanye cha kusheherekea ushindi maana naambiwa refa leo alikuwa noma sana jamaa wa Chelsick na Manure walitoa kitita cha uhakika leo hii ili kuwakwaza wana Emirates lakini magoli hayakuweza kukataliwa kwa sababu ingekuwa noma. Yule mshenzi kibendera bandia nitawapa jina lake lakini hizi zote ni katika purukushani ngoja kwanza tuone nini kimejiri.
More to come ... ...
At least mmeanza kukubali kwamba hakuna mechi rahisi. Ni ninyi Arsenal ndio mlikuwa mnapuliza tarumbeta la "tumebakiwa na match rahisi zote, ubingwa ni wetu mwaka huu" The bubble nearly went bust today!
Mimi sio ManU mr, hauwezi hata kuona avatar yangu?! Kesho ninawashabikia jirani zangu Fulham.Haya mkuu ngoja nipite nyumbani kwao nikawape pongezi akina Invisible, Masanilo & Company. Ahsante sana kwa pongezi zako. Kesho naona mna karamu ya kapu la magoli na Fulham.
Hahahaha, ok chief! Who's next?Kwani uongo???,tuliyokuwa tukisema ni ya ukweli kabisa,kwamba tumebakiwa na mechi ambazo nyingi ni rahisi,ndo maana unaona tangu tumalizane na Man Utd na Chelsea tumekuwa tukitoa kichapo tu...Liver tumemchapa 1-0,Sunderland 2-0,Stoke City 3-1,Burnley 3-1 na leo Hull City 2-1...Huoni kuna ukweli kwamba mechi zilizobaki ni rahisi???😀😀😀
Jirani ebu niambie, eti leo mmeonewa sana na refa? Ninong'oneze wasisikie wenzio.Kwani uongo???,tuliyokuwa tukisema ni ya ukweli kabisa,kwamba tumebakiwa na mechi ambazo nyingi ni rahisi,ndo maana unaona tangu tumalizane na Man Utd na Chelsea tumekuwa tukitoa kichapo tu...Liver tumemchapa 1-0,Sunderland 2-0,Stoke City 3-1,Burnley 3-1 na leo Hull City 2-1...Huoni kuna ukweli kwamba mechi zilizobaki ni rahisi???😀😀😀
Ushindi huo hauniumi maana bado naongoza ligi with game in hand! Kazi iko kwenu ninyi mnaofukuza.
Wacha hajatokea bado?
1-1 Penati imetucost hapa!!
naona penati ya kizushi imewatoa jamaa,powaa tu mda hupo tutarudi.
Hii ni penati ya kizushi kweli bana
sasa arshavin kweli nafasi kama hile ukipoteza tutakuwa mabingwa kweli?
Mkuu MF, bado nina matumaini dakika 7 ni nyingi sana, lakini jamaa wote wa Hull wamerudi golini kwao kudefend na dakika ndiyo zinazidi kuyoyoma.
yaani mpaka dakika ya 98 ndio mnafunga timu iliyo mkiani na yenye wachezaji 10 kwa more than half of the game?!
Mpira umekwishaaaaaaaaaaa!! Point 3 kibindoni, bado tumo kwenye race!!
Hahahahahahaha ushindi ni ushindi bwana kama Refa kaona kuna dkk 6 zilizopotea ni lazima aziongeze. Hebu kuwa mwanamichezo utoe pongezi hata siku moja....badala ya kusagia tu. Kumbuka asiyekubali kushindwa si mshindani.
Mbona wewe hujatoa pongezi kwa Chelsea? Au pongezi wanapewa Arsenal tu! OK, hongera zenu wakuu..lol...hahahaha
Ushindi huo hauniumi maana bado naongoza ligi with game in hand! Kazi iko kwenu ninyi mnaofukuza.
Haya mkuu ngoja nipite nyumbani kwao nikawape pongezi akina Invisible, Masanilo & Company. Ahsante sana kwa pongezi zako. Kesho naona mna karamu ya kapu la magoli na Fulham.
Jirani ebu niambie, eti leo mmeonewa sana na refa? Ninong'oneze wasisikie wenzio.
Hii ndio tets muhimu ya mwanaume, maana ukishinda hapo unakuwa umechukua ubingwa kwa kufunga timu za maana, I can't wait for the games!Na tunawafukuza hasa...Inabidi mgangamale hasa,muwe na speed kama ya Usain Bolt...Mkiteleza tuu sie hao...Hata game mlizobaki nazo mhhhhh...Blackburn Rovers,Aston Villa,Tottenham Hotspurs,Man Utd,Liverpool...heheeeeeeeee...bila kuwasahau ving'ang'anizi Bolton na Wigan....Mnalo...
Thnx for being fair, jaribu kuwapa somo hao wanaolialia.Kwangu mimi naona refa kachezesha fair tu...Ile penati ya Hull ni ajali tu kazini...Hatujaonewa wala nini
duuuuuuuuuuuuuuuuuuuuh hizi ndio game walizobaki nazo? comon arsenal we can do it.Na ..Hata game mlizobaki nazo mhhhhh...Blackburn Rovers,Aston Villa,Tottenham Hotspurs,Man Utd,Liverpool...heheeeeeeeee...bila kuwasahau ving'ang'anizi Bolton na Wigan....Mnalo...
Hahahaha, ok chief! Who's next?
duuuuuuuuuuuuuuuuuuuuh hizi ndio game walizobaki nazo? comon arsenal we can do it.
Hii ndio tets muhimu ya mwanaume, maana ukishinda hapo unakuwa umechukua ubingwa kwa kufunga timu za maana, I can't wait for the games!
duuuuuuuuuuuuuuuuuuuuh hizi ndio game walizobaki nazo? comon arsenal we can do it.
Kila la heri jirani