Hassanali.....Mustafiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Prof anahitaji kurudi shule... Hii line up ya leo sijaielewa. Utadhani tunacheza na Chelsea, Man Utd, Citey wikiendi hii.
Mtanipa matokeo. Nakwenda kuongea na Mazufuri Akida Mazufuri.
Giroud ange-start sio kumwingiza dakika 63..