Tembea uone lililo na impact kwako ni hilo tutikutolea ya uvunguni mwa kitanda chako hutarudi tena hapa
Good for you.hebu funguka mkuu wala usisite hata zidane alifunguka alipochukia
Zinedine Zidane hatimaye amezungumzia kwanini alimpiga Materazzi kichwa katika fainali ya kombe la dunia 2006. "Aliniita fala,nikampuuzia. Akamwita baba yangu gaidi,nikampuuzia. Sasa hasira zikanipanda pale aliposema ninafaa kuichezea ARSENAL.
Tembea uone lililo na impact kwako ni hilo tutikutolea ya uvunguni mwa kitanda chako hutarudi tena hapa
Well noted.Mpwa uyo jamaa atakusumbua tu hana jipya dawa mkaushie umu anakuja atafanya vurumai watu wanamshangaa tu akiishiwa bundle anapotea na tecno yake anaizima anasahau hili jukwaa sio la ucheshi please mkaushie.
Well noted.
Kwani wanapofungisha ndoa za mashoga mwishoni huwa wanatamkaje ya kwamba kuanzia Leo nyinyi wawili mmekua arsenal united au kimombo si lazima watasema kuanzia Leo nyinyi mmekua Man unitedView attachment 394675 hizi ndio hatua za Arsenal makombe yashawashinda
HahahahahahaKwani wanapofungisha ndoa za mashoga mwishoni huwa wanatamkaje ya kwamba kuanzia Leo nyinyi wawili mmekua arsenal united au kimombo si lazima watasema kuanzia Leo nyinyi mmekua Man united
Kwani wanapofungisha ndoa za mashoga mwishoni huwa wanatamkaje ya kwamba kuanzia Leo nyinyi wawili mmekua arsenal united au kimombo si lazima watasema kuanzia Leo nyinyi mmekua Man united
Bila shaka hawa lunatics wanachangia mikosi tunayoipata kama majeruhi nk.View attachment 394675 hizi ndio hatua za Arsenal makombe yashawashinda
Kwa hyo mashabiki wa Arsenal wanapooana wanaitwa MAN UNITED kwa lugha fup ULIMAANISHA kuwa MAN UNITED ni mashabiki wa ARSENAL waliooanaKwani wanapofungisha ndoa za mashoga mwishoni huwa wanatamkaje ya kwamba kuanzia Leo nyinyi wawili mmekua arsenal united au kimombo si lazima watasema kuanzia Leo nyinyi mmekua Man united
ndio nini mkuu
Jibu sahihi kwa mjibiwa sahihi
sizani ila mnamuendekeza sana Wenger hvyo MNGEMTIMUA TUBila shaka hawa lunatics wanachangia mikosi tunayoipata kama majeruhi nk.
Weka akiba ya maneno mwisho sheikh YahayaArsenal mwaka huu uwezekano wa kushuka daraja ni mkubwa sana