UrbanGentleman
JF-Expert Member
- Jun 19, 2016
- 2,584
- 1,886
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Poa tu mkuu mimi nipo natathmini msimu wa timu yetu safari hii.
Ya, msimu wa 2015/2016 kwenye La Liga Perez alifunga magoli 17.
Huyu ndie mshambuliaji pekee wa Depor lakini wamemwachia tu kwa sababu ya kifedha.
Ila kwa kuwa Everton na timu zingine zilikuwa zikifukuzia, maskauti wa Arsenal nao walikuwa wakiwinda kwa mbali.
Ndio leo wakaamua ku-move for a kill walipoona Everton wanasita kwenda zaidi ya 17M, hivyo kwa kiasi Fulani hii ni bargain kuzingatia umri wake.
Kwa kuwa Giroud yupo, Walcott na baadae Welbeck akipona, angalau Wenger atakuwa na options na pia Perez ataleta copetition baina yao.
Hivyo is fair to say ni good move ingawa sio ya zaidi ya 30M au 40M
Wenger anatufundisha economics yaani unakaa mpaka mwisho wa mnada, lol
Haaaaaa\aaaaaaaaaaa wenger msenge wa mwisho tena si kidogoInabidi kucheza Kuna blog ya mashabiki wa arsenal UK inasema jinsi usajiri inayoendelea mashabiki wa arsenal inabidi kujikausha. Hiyo issue ya Perez kwa kadri ya day mail arsenal wanataka kulipa release clause kwa 2 installments na ni 16.9 pounds
Inabidi kucheza Kuna blog ya mashabiki wa arsenal UK inasema jinsi usajiri inayoendelea mashabiki wa arsenal inabidi kujikausha. Hiyo issue ya Perez kwa kadri ya day mail arsenal wanataka kulipa release clause kwa 2 installments na ni 16.9 pounds
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Group A: PSG, Arsenal, Basel, Ludogorets
Timu 16 kamili.
Wallah hili group babu labda aendeleze ile tabia yake ya kutopenda kuongoza. Vinginevyo baada ya miaka mingi hili tumepata fursa ya kuwa viongozi.Group A: PSG, Arsenal, Basel, Ludogorets
Timu 16 kamili.
Everyone know your end is round of 16Wachawi wameumia sana na hii draw heeee heeeee..!Alhamdullilah ngoja nipumzike,ivi manure na ukawa wenzake wako kundi gani heeee heee watakuja na mapovu hapa
Mustafi wa Valencia he is forcing exit. Arsenal have been asked to pay £26m for the player. Hopes the cheque is being signed by the last signatory
[emoji1] [emoji2] [emoji16]Manchester United and Chelsea are in group V and P respectively
V=Vagina
P=Pus.sy
Mustafi wa Valencia he is forcing exit. Arsenal have been asked to pay £26m for the player. Hopes the cheque is being signed by the last signatory
Wallah hili group babu labda aendeleze ile tabia yake ya kutopenda kuongoza. Vinginevyo baada ya miaka mingi hili tumepata fursa ya kuwa viongozi.
Mimi uwa siandiki porojo naandika kitu cha kweli na kinachokaribia kutokeaValencia hawatakubali hiyo amount... The market is very inflated. Timu zinataka pesa nyingi kwa magarasa hasa mnunuzi akitoka England.