Hatuna timu ya ushindani timu zote kubwa wamefanya usajili wa maana huyu mzee analeta jokes kila msimu hafai mpumbavu sanaOpening game ishakua msiba kwetu naona msimu wa 3 in row tunapigwa kila pazia likifunguliwa na balaa linatukuta hapa hapa Emirates
Hapo kwa Liverpool umechemsha.Season over. Arsenal got relegated, Liverpool have the title. See you next weekend.
Kama anataka classic amchukue messi Ronald neymer Suarez huyu mzee mpuuzi sanaIla huyu Mzee Wenger atatuua mwaka huu kwa presha,haiwezekani Mzee anapewa pesa alafu anarudisha benki eti amekosa kabisa striker wa kumleta arsenal. Yaani huyu Mzee amekuwa fal.a sana.
Mata wa kumzuia ni Mourinho mwenyewe.
Ila huyu Mzee Wenger atatuua mwaka huu kwa presha,haiwezekani Mzee anapewa pesa alafu anarudisha benki eti amekosa kabisa striker wa kumleta arsenal. Yaani huyu Mzee amekuwa fal.a sana.
Nimejaribu kuihama arsenal nimeshindwa kiongozi,lakini sijui kwanini management ya arsenal inaendelea kumwacha huyu mzee,utadhani makocha wengine wameisha.Yaani shida tupu kiongozimwisho Wa saa utakuja jinyonga mkuu hilo sio kabila mkuu
You are very rightwith that stupid frenchman still in charge of the team, Arsenal cannot win any title
Ndugu yangu ile thunderbolt ya Fundi Cou utaizuia vipi?Let's all blame Wenger for that Liverpool equalizer.
Congratu, tumefungwa na timu nzuri. Itabidi tujipange vizuri vs Leicester city. Ligi bado mbichi kila timu hapa inaweza kufungika.Nakubaliana na wewe ila kama zitajifunza makosa yapo wapi na kukubali zitakuwa mbali ila kama ulivyosema game zinabadilika na vipi unaziingia ukicheza game ngumu toa ubishoo.
Binafsi napenda tungefungwa 5 bila hakuna usimba wala uyanga hapa issue ni moja kikosi cheti kibovu na tija ni kusajiri, peoples speak their minds sasa shid Iko wapi...Nadhani kuna watu humu wanastahili kuendeleza ushabiki wa Simba na Yanga, usiojali kuwa objective. Nasema hivi kutokana na post ninazosomaga. Arsenal wamefungwa na a best team on this day fair and square, kusajili au kutosajili it doesn't matter kwamba timu haitafungwa hata mechi moja. Ni mechi ya kwanza kufungwa msimu ndio unaanza it doesn't mean Arsenal wataendelea kufungwa kila mechi au watashinda kila mechi tokea leo.
Nadhani kuna watu humu wanastahili kuendeleza ushabiki wa Simba na Yanga, usiojali kuwa objective. Nasema hivi kutokana na post ninazosomaga. Arsenal wamefungwa na a best team on this day fair and square, kusajili au kutosajili it doesn't matter kwamba timu haitafungwa hata mechi moja. Ni mechi ya kwanza kufungwa msimu ndio unaanza it doesn't mean Arsenal wataendelea kufungwa kila mechi au watashinda kila mechi tokea leo.