Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Dr. Lik anasema Wenga ni Mzee ambaye hataki kuona mambo yakibadilika.
Docta amethibitisha kuwa umri unavyozidi kuwa mkubwa ndivyo kutopenda mabadiliko kunaongezeka.
Kwa hiyo Wenger ana phycological problem

Huyo Lik ni nani? ni yule aliyekua anachambua mpira kwenye lununga hapa nyumbani kabla wengi hatujajua kutumia internate?
 
huyu Riyad timu ishakufa aje tu huko london
 
Haha Leicester mwaka huu anshuka kuendelea kuweka amazing records
 
Mahrez bado anagoma kuja au babu hatakii? Bora vard angekuja tu maana Leicester sijui kama watapenyeza tena
 
huyu Riyad timu ishakufa aje tu huko london
Riyad yuko tayari kuja Emirates tatizo mzee Wenger hataki kukata pochi,yaani anaionea pesa huruma utadhani pesa anatoa mfukoni mwake!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…