Arsenal (The Gunners) | Special Thread

hebu tuuchanganue mpira wa leo,
Arsenal siku zote wanacheza mpira mzuri, hilo linajulikana, ukitaka kucheza nao lazima utumie nguvu ya ziada,
ukicheza mpira watakufunga sawa na Brazil, ukicheza mpira na kukubali kuufuata mpira wao, ndio safari, kwa kweli Arsenal kwa UK ndio wanacheza mpira mzuri, unalingana na Spain au Brazil, ni mpira wa kitabu,
Hongera Arsenal
 
Mungu yupo nasi wameongea sana hatimaye tumefanya kweli,Mashabiki wenzangu nawatakieni usiku mwema wenye Vodka ama lager sasa ni wakati wa kuselebuka na hatimae kulala usingizi mnono.
 

Duh, kumbe yale maneno yalikuingia eehh?

Raundi hii mmeponyoka si unajua Fabianski hakucheza na pia refa alikuwa anafuata sheria ..he he he. Raundi ijayo natarajia Madrid au Barca ndio opponents wenu, kama sio FC Bayern Munchen.
 
Duh, kumbe yale maneno yalikuingia eehh?

Raundi hii mmeponyoka si unajua Fabianski hakucheza na pia refa alikuwa anafuata sheria ..he he he. Raundi ijayo natarajia Madrid au Barca ndio opponents wenu, kama sio FC Bayern Munchen.
Ha ha ha adui muombee njaa,kumbuka njaa tu haitoshi kama visima vinafanya kazi labda fukia na visima vyote hapo ndo njaa itatumaliza.
 
Halafu ka-ebue kwa kujipendekeza kwa mashabiki bana, mpaka kanatia kinyaa. kanatamani kawalambe miguu ..
 
Halafu ka-ebue kwa kujipendekeza kwa mashabiki bana, mpaka kanatia kinyaa. kanatamani kawalambe miguu ..


Eboue kafunga goli, pale alikuwa anashangilia ufanyaji wake wa kazi, wewe hupendi? Mwenzio keshokutwa weekend anakusanya fweza kutoka kwa Arsenal wewe unapiga kelele JF za husuda. Wacha akusanye mpunga.
 
Eboue kafunga goli, pale alikuwa anashngilia ufanyaji wake wa kazi, wewe hupendi? Mwenzio keshokutwa weekend anakusanya fweza kutoka kwa Arsenal wewe unapiga kelele JF za husuda. Wacha akusanye mpunga.
Sasa kila mtu akiwa Ebue nani atakuwa Nani? acha hizo

[ame="http://www.youtube.com/watch?v=nQejE-JRF3I&feature=related"]YouTube- NANI AMAZING GOAL [ Arsenal 1 x 3 Manchester United] in portuguese narration[/ame]

[ame="http://www.youtube.com/watch?v=-PcgaQgf0Gw"]YouTube- Nani goal vs arsenal[/ame].
 
Hivi droo lini kwani?
Quarter-finals

The draw for the remaining rounds will be held on 19 March 2010. Starting from this round, the draw is made irrespective of association or previous group status. The first legs will be played on 30 and 31 March, while the second legs will be played on 6 and 7 April 2010.

Semi-finals


The first legs will be played on 20 and 21 April, while the second legs will be played on 27 and 28 April 2010.
 


Wenye wivu wajinyonge.



But last night the giant striker proved he is the greatest ever striker to grace the Emirates with the first treble of his career to crush Porto.




 
jamani tuache utani, arsenal ni noma! tano bila? duuuh..hii ni kufuru ya mwaka, sasa tunamsubiri mjinga mjinga yoyote aje next round naye tumgonge..tunamtafuta barca final tumgonge!
 
Jana vijana wamefanya kweli 5-0 kwa FC Porto.
 
Game ya Jana ilikuwa powa sana, vijana walifanya kazi kubwa sana, 5 - 0 sio mchezo
 
Game ya Jana ilikuwa powa sana, vijana walifanya kazi kubwa sana, 5 - 0 sio mchezo
walikata umeme eneo letu, kwa hiyo sikucheki - ila bravo Asenali - wenga anaweza kutuhakikishia dunia nzima kwamba - pesa si mpira na mpira si pesa kama akishinda UEFA na Premiership .... Lakini duh bado sana kufikiria kitu kama hicho kwa sasa.

Tusubiri Man U leo - na wazee wa Milan.
 
Poleni lakini tuliwawakilisha
 
Arsène Wenger looks to take on Manchester United or Chelsea after defeat of Porto



 
Party time: Nicklas Bendtner, left, and Samir Nasri played vital roles in Arsenal's 5-0 hammering of Porto at the Emirates Stadium on Tuesday night. Arsenal became the first English club to reach the Champions League quarter-finals
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…