UrbanGentleman
JF-Expert Member
- Jun 19, 2016
- 2,584
- 1,886
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mi nisha umia moyo mpaaaka yaani nimeachaDahhh nimeamini ule msemo wa once a gunner forever a gunner, huyu mzee anazingua sana ila ndo hivo tena arsenal fans wako royal sana, ingekuwa mashabik wa man u team ingebaki na familia ya graizer tu. Na huyu wenger angekuwa tanzania ata mm ningejitolea kumchoma visu vingi sana hadi awe km chujio
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mzee pichu sana huyu yaani ye anona sawa si kuumia moyo namshangaa huyu mfaransa gani wa ajabu hiviSasa hili jamaa.miaka 10 halijashinda kombe kwann linangangania...lenyewe linazidi kutajirika tu inakufa jitu la hovyo sana hili...
Hata van gaal aliifunga Barcelona kwenye pre seasonliva naitabiria kuchukua ndoo ya EPL katika kipindi cha miaka michache sn ijayo.. jurgen naon anafany kaz nzur sana.
Sijaelewa hapo unataka kutuambia nini juu ya kufungwa huko kwa Barca na Liva.Hata van gaal aliifunga Barcelona kwenye pre season
Liverpool kuifunga barca sio garantii ya kusema itachukua EPLSijaelewa hapo unataka kutuambia nini juu ya kufungwa huko kwa Barca na Liva.
Leo saa 19:45Game yetu na man city ni leo au kesho
Arsenal msimu huu wanatisha wamesajili TAKUMA wakaona hatofit combination yake ni EMBOLO.. kah! Nawaza tu aiseeNamuongelea TAKUMA...Hahaaaaaaa, tumpe muda
Bora nimeingia kwenye hii thread nilishasahau kama leo kuna mechi kali.Leo saa 19:45
Leo saa 19:45