Manolas Is not For sale mpaka ufikie £45mil waliyoweka AS ROMA, Riyad Mahrez nae ni £45mil
Sio rahisi Kutoa hizo Pesa kutoka Arsenal Board
Higuain Deal lake ni Impossible kwa umri wake na Value ni Crazy ukizingatia ana mwaka mmoja Katika mkataba
Release ya £97mil ni UCHIZI mtupu.
Napoli ni mawili wamuuze China wapige pesa au wabaki nae mkataba Uishe mwakani aondoke Bure
Maana Rais wa Napoli ni Mwehu Alidai Atletico walibid €60mil + Wachezaji wawili na Alikataa
Na watauza China inakoelekea Unless Hguain abadiri maamuzi aongeze Mkataba
Game ya leo saa ngapi kwa masaa ya TanzaniaMsimu wa maandalizi kwa timu yetu ya Arsenal unaanza rasi leo ambapo timu yetu inatarajiwa kucheza na timu ya Lens ya Ufaransa.
Uwanja ni wa Lens uitwao Stade Bollaert-Delelis.
Utaratibu mzima wa mechi za kujipima nguvu za Arsenal.
vs MLS All-Stars, Thursday 28 April, 01:00 BST, mjini Dallas katika jimbo la Texas nchini Marekani.
vs Chivas, Sunday 31 July, 17:00 BST, San Jose huko Santa Clara jimboni California, Marekani.
vs Viking VK, Friday 5 August, 19:30 BST, Stavanger [Norway]
vs Manchester City, Sunday 7 August, 18:00 BST [Stockholm]
Man wameshakufa Mkono kasoroMsimu wa maandalizi kwa timu yetu ya Arsenal unaanza rasi leo ambapo timu yetu inatarajiwa kucheza na timu ya Lens ya Ufaransa.
Uwanja ni wa Lens uitwao Stade Bollaert-Delelis.
Utaratibu mzima wa mechi za kujipima nguvu za Arsenal.
vs MLS All-Stars, Thursday 28 April, 01:00 BST, mjini Dallas katika jimbo la Texas nchini Marekani.
vs Chivas, Sunday 31 July, 17:00 BST, San Jose huko Santa Clara jimboni California, Marekani.
vs Viking VK, Friday 5 August, 19:30 BST, Stavanger [Norway]
vs Manchester City, Sunday 7 August, 18:00 BST [Stockholm]
Game ya leo saa ngapi kwa masaa ya Tanzania
Usicheke Inaumiza kuna wakati mfano hii neighborhood nnayoishi hawa wajamaa wamenitunga jina wananiita wenger
Usicheke Inaumiza kuna wakati mfano hii neighborhood nnayoishi hawa wajamaa wamenitunga jina wananiita wenger
Werrason nakuvunja mbavu sana
Wanajua sanaArsenali bwana....