Inatosha sana maana Man City na Chelsea hawatacheza CL mwakani.
Hio ndio argument ya tunaomtetea Arsene Wenger kwamba wale wanaotaka atoke Arsenal wanatambua kwamba kuna timu zingine kubwa kama Man City, Chelsea na Liverpool ambazo hazitacheza CL mwakani?
Man City hatopata nafasi hiyo endapo Man Utd watashinda echi zao mbili zilizobakia.
Champions League - 2016/17 Leicester, Tottenham, Arsenal na Man Utd/ Man City.
Europa League 2016/17 - Man City/ Man Utd, Southampton, West Ham na Liverpool.