Nimeacha kushangilia Arsenal hadi WENGER aondoke... msinitafute wala kuniuliza maswali wala sitaki mu-quote hii post au ku-like. See you in the future ahem
leo anayesema barca anashinda naomba akambetie co kupga kelele tu hapa wakati fursa ya hela za bure mnaziona AleynENZORRONDO na kundi lenu; ukiona roho inasita basi utulize kidude hicho mpaka saa 6:30 usiku wa leo

hapa kinachomatter ni fursa mkuu, kama unaona una uhakika wa kuinvest million 1 halafu baada ya dk 90 ukamake abnormal profit ya extra 40k kwanini usikamate hiyo fursa....
Hahahahah....ukweli ni kwamba unaogopa kwa sababu ya uncertainty na huna uhakika wa hiyo investment kudeliver; na hiyo inamaanisha utulie usubiri kitakachotokea sasa!!