........kamanda upo? Bado mechi kadhaa bana, NEVER SAY NEVER japo mnh, kweli inauma na huyu mzee anatupa presha mwaka wa kumi sasa...
........6pts sio nyingi ki viiile, fumba na kufumbua Leicester 'bubble' ita burst, na hawa Spurs hawanaga jeuri ya kumaliza ligi above us!.....
We will win EPL in style,.....kina
Nzi,
Belo na wenzao si mnawajua? .....tukishinda kiulaini watasema ..."Oohh, mmewaonea kwakuwa Chelsea & Man City were Shit!".... Tutavyoshinda KWA KISHINDO pia hawatakosa la kukosoa...
[HASHTAG]#ComeOnYouGunners[/HASHTAG]!!!
YES,....[HASHTAG]#TogetherWeStand[/HASHTAG]!