Mzee wa khe khe khe khe khe Wacha 1 mwingine anaitwa rubaman mwingine anaitwa kashengo huyu kasharusha taulo jeupe wakati ndio kwanza March imeanza. Niliwaambia hiki ndio kipindi cha kupoteana,cheki ratiba yaoHahaha mashabiki wa Arse8 wanafurahisha sana.
Mzee wa kucheka sijamwona muda sasa...hawa jamaa huwa wana haiba za Kihehe..sijuiiiiiiiii
Duh yamekuwa hayo tena.........!ARSENAL are the biggest choking team in the world. Wenger out out out in the name of Jesus. Nasema haya kwa moyo mkunjufu na upendo
Hii ni hulka ya mashabiki wengi, sio Arsenal tu!Subiri ashinde mechi mbili tatu mfululizo then rudi hapa na hayo maneno.
AMEEEEEEEEEEN, dawa ya wenger ni akose top 4 kwanza! Hata West Ham wamalize juu yetu labda tuna chance ya kumtimua na moshi shimoni!ARSENAL are the biggest choking team in the world. Wenger out out out in the name of Jesus. Nasema haya kwa moyo mkunjufu na upendo
Nope msimamo wangu mimi upo pale pale LVG OUT......timu haiwezi ila nyinyi wa Arsenal hamuambiwi kitu na huyo babu.Hii ni hulka ya mashabiki wengi, sio Arsenal tu!
Kwani Manu siku hizi ndo standards zimeshuka imebidi mkubali matokea?? Mbona sasa mmetulia wakati wiki 2 tu mlikuwa na mabango LVG OUT?? Nanyi mm sahau?? Sasa mpo kimya!
Sio mashabiki, ni board of directors! Washabiki wanapigaga kelele mpaka wanazoea hizo kelele, hamna jinsi inafika wakati inabidi ikubali tu! Wenger nishamchoka toka kipindi kile imebaki kidogo tuchukue ndoo badala ya kusajili januari, hakufanya hivyo! Na tulikuwa tunaongoza ligi mpaka mwisho mwa feb, tukapigwa na Birmingham fainali ya Capital one, toka hapo GRAVITATIONAL FORCE IKATIZIDI tukashuka! Mpaka leo ni iterations za hiyo episode!Nope msimamo wangu mimi upo pale pale LVG OUT......timu haiwezi ila nyinyi wa Arsenal hamuambiwi kitu na huyo babu.
Nasikia mganga wake ni kinyogoli, pale ukipandisha mlima wa Yombo Dovya.Hiki kizee kikiendelea na timu msimu ujao,,itabidi wenye imani ya kwenda kwa mganga wamuulizie huyo mganga wake.Maana katuroga mpaka tulio mbali.
MIND THE GAP..........“The two shots that Swansea had on target all night were their two goals and it looks a bit like confidence is an issue for us.” .... alisema Arsene
Pumbavu huyu kocha, na misimu 10 ilopita ilikuwa nini? Yeye kama manager ametatua vipi tatizo ambalo limekuwa likijirudia? Awe smart, ajie kwamba ameshindwa kuwapump wachezaji wake, yeye ndo tatizo la kwanza, la pili timu ina average players wengi, wanabebeshwa mzigo wasiouweza!“The two shots that Swansea had on target all night were their two goals and it looks a bit like confidence is an issue for us.” .... alisema Arsene
indeed ...MIND THE GAP..........