Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Barcelona haonyeshi kuchoka na bado MNS wanatafuta goli.

Arsenal wamesimama imara na ni wakati wao wa kufunga goli la kushtukiza.

Dakika inakwenda ya 58 goli ni 0-0
 
Jambo lingine la muhimu ni kwamba Arsenal walifanya jambo la mbolea sana kumsajili Petr Cech.

Ni kipa wa maana kabisa.
 
Game limeanza kufunguka na Arsenal wanajaribu kutafuta goli la nyumbani la kwenda nalo Nou Camp na Barcelona nao wanafurahia kucheza na mpira ndani ya nafasi za hapa na pale wanazozipata.

Dakika inakwenda ya 65 goli ni 0-0
 
Hawa Barca wanapigika kabisa
 
Lovely stuff kutoka kwa Sanchez anammfuatilia Messi na kuchukua mpira halafu anapewa mpira wa adhabu kwa Arsenal.

Oliveir Giroud anashindwa hii game na Wenger anamwangalia Danny Welbeck.
 
MSN wanakimbia na mpira ni goaaaaaaaal Messi anafunga Barca 1-0 up
 
Danny Welbeck ameingia badala ya Oliveir Giroud.

Arsenal wameadhibiwa kwa kujaza wachezaji mbele huku wakimwacha Francis Coquelin katikati peke yake ambae anashindwa kukabiliana na nguvu ya MSN.

Du, hawa MSN hawa!
 
Giroud alitakiwa aende bench kabla mambo ayajaharibika, sema Hawa makocha sijui wanakuwaga na fantasy gani, Kila mtu aliona Leo sio siku yake lakini kamuacha anacheza dakika 70. Upuuzi kabisa huu.
 
Giroud alitakiwa aende bench kabla mambo ayajaharibika, sema Hawa makocha sijui wanakuwaga na fantasy gani, Kila mtu aliona Leo sio siku yake lakini kamuacha anacheza dakika 70. Upuuzi kabisa huu.

Ni pale pale Half time angembadilisha ili ku-maintain ile control walokuwa nayo Arsenal.

Ni ngumu sana kifunga goli saa hii labda wakumbuke mechi na Leicester.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…