Hii set up ya Wenger nimeipenda leo maana ile positioning imekuwa key na Ozil amekuwa akimzuia Messi na kutupa mipira haraka upande wa kushoto kwa Sanchez na mpaka sasa hali si mbaya.
Barcelona wamemiliki mpira aslimia 70 na Arsenal asilimia 30.
Swali kuntu: mtaweza ku defend hivyo hivyo kwa dakika nyingine 45?
- OX anatoka anaingia Gibbs.
- towards the dying minutes of the first half mlipotea kidogo, si ndo uchovu huo? Wish u the est lakini. Hope hamtamuharibia Cech historia yake na Messi.