Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Ars lazma agongwe kwa mfumo wake Wa viungo wawi kati
 
Arsenal hatufungwi kirahisi kwa kikosi hiki
 
Man Marking ni key kwenye game hili na boss mpaka sasa anamdhibiti vilivyo Suarez huku Mertesacker akiwa anamwangalia Lionel Messi.

Dakika inakwenda ya 13

Arsenal 0 Barca 0
 
Arsenal wameanza vizuri kwa kufanya mashambulizi ya harakaharaka.

Timu zote bado hazijaanza kuuma kwa mashambulizi ya nguvu.

Kwa kifupi ni kwamba mpaka dakika hizi 20 zimekwenda Arsenal hawajawapa nafasi Barca ya kutawala mchezo.

Iniesta kwa Alba nae anamtupia Busquest ambae nae anapiga shuti Cech anakamata.

Barca sasa wameanza kucheza lakini back four ya Arsenal bado wapo macho.

Arsenal 0 Barca 0
 
Refa anawapenda Barcelona lakini watafungwa Tu muda SI mrefu
 
So far so good Arsenal inacheza game ilocheza na Bayern Munich na Man City.

Dakika inakwenda ya 30 Arsenal 0 Barcelona 0

Coquelin anamkwatua Messi na mwamuzi anatoa adhabu lakini hakutoa kwa Danny Alvez alipomkwatua Alexis Sanchez.
 
Barca wameanza kuuma na Messi anapewa mpira wa adhabu ndani ya eneo la hatari.

Neymar anapiga mpira huo na unaokolewa na Arsenal na wanafanya counter attack na Javier Mascherano anaokoa mpira huo.

dakika inakwenda ya 38

Arsenal 0 Barca 0
 
Karibia ni mapumziko Dakika ni ya 44

goli ni 0-0

So far so good.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…