Raha ya mechi ya leo, ni kuangalizia kwenye channel ya Kiarabu....
Utasikia......
Messiii walaaaaahi yaaa ilahiiii Meeeeesi....thuma alaa Neymar fil balaaa duniya ..Barcelona ala espania khamsa , wa arsenal fil engliz sufur..Thalatha ahdaaf min Lionel messi
Wahid baina yadain...