Arsenal makombe yenu ni EPL na Carling Cup, UEFA sio level yenu. Level za akina Barca, Madrid na Bayern. Sitashangaa leo mkichapwa hata 7, Kwa MSN yote yawezekana. Go Barca, Go Barca!!!
Barca bado tuna safari ndefu kidogo La Liga, leo tunataka Game tuimalize hapahapa Emirates kwenu ili tuendelee na mambo yetu, mkija Camp Nou mcheze na akina Sergi Roberto, Munir n.k
Hakuna Fact ya maana inayoibeba Arsenal leo kuifunga Barca hii ya sasa even if wapo kwao emirates.
Fact pekee waliyonayo Arsenal na mashabiki wake ni kwamba 'mpira unadunda', yaani wanategemea miujiza kuifunga Barca na sio uwezo.
Tupo mkuu ila kuna jamaa ingizo jipya inabidi tutulie maana anaandika kama cherehani haaa haaa kila ukiingia unakuta katupia zile "leo Messi anaua" haujatulia "kiama chenu" ukijitingisha unakuta kaweka kibwagizo "mnakula nyingi" acha tu ila hakuna wa kukimbia mpwa mpaka mtanange uishe na nitakuja kuaga.
Kwa wale wenzangu na mie wana maombi kuna majibu tumepewa kutoka kwa mungu ambae amamtuma malaika wake, amesema maombi ya kuiombea arsenal yamefika kwa baba ila amesema maombi yalikuwa kama ni kelele na mungu anapenda maombi ambayo ni kama manukato. Pia amemalizia kusema kuwa tusijusumbua kuomba tena maana kuiombea Arsenal ishinde ni kama kumuombea toba shetani ili asamehewe.