Gap kubwa sana hii ya magoli, inabidi kupunguza kwa mechi hii
Tofauti ya magoli sio threat sana, kati ya Araenal, leicester na Mancity sidhani kama goal difference ndo itaamua, tottenham wana mecho zilizobaki ngumu zaidi ya Arsenal, tottenham kwangu naona wamemshikia tu mtu hapo, watashuka.Gap kubwa sana hii ya magoli, inabidi kupunguza kwa mechi hii
Nakubaliana nawe, vijana wakiwa makini kutakuwa na magoli mengi zaidi Leo.Arsenal wapo mapumziko wakiwa mbele kwa goli 2-0
Wametawala mchezo ingawa Bournemouth nao wamejaribu mara kadhaa kutafuta magoli.
Arsenal wanaweza tu kupoteza magoli hayo kama hawatakuwa makini na Benik Afobe na pia kama walinzi wake watajisahau kidogo.
Bournemouth kwa voyote vile watafanya mabadiliko kipindi cha pili.
Ila yote ni kwamba Bado Olovier Giroud na Alexis Sanchez nao bado hawajafunga.
Tusubiri kipindi cha pili.
Spurs hamna kitu, watashuka. Timu yenye mechi auheni ni leicester, wakikaa sawa! Ni kombe lao ila pressure ile yenyewe itawakuta tu.Kabisa, maana ianyoonekana mechi ijayo na Leicester ndio itaonesha muonekano wa nani atakuwa bingwa. Tottenham watacheza na Man City.
Mpira ni mapumziko sasa.
Bournemouth 0 Arsenal 2
Combo ya Ramsey na Flamini inagoma kwa mtazamo wangu na hii itakuja kutagharimu.
Kwa hizi sub inaonyesha AW ameridhika na matokeo yaliyopo aaaagggghrrrrr