Ina maana kila cku refa awaonee nyie tu iwe nyumbani iwe ugenini !!Mapungufu ya mpila,refa anawez kuia timu na akakiri baadaye hakuona vizuri,lakini timu imeumia red card ya metersaker inautata mkubwa sana,hakuna mahari walipogusana
Chifu, weka unazi pembeni. Ile ilikuwa straight red card bila wasiwasi wowote. Per alikuwa the last man, na alimgusa Diego. Ndiyo shida ya hiyo professional foul last man, beki inabidi awe makini sana katika kufanya tackling, kwani hata ukimgusa kidogo tu mchezaji wa timu pinzani, refa hasiti kukupa kadi nyekundu.Mapungufu ya mpila,refa anawez kuia timu na akakiri baadaye hakuona vizuri,lakini timu imeumia red card ya metersaker inautata mkubwa sana,hakuna mahari walipogusana
Ndiyo maana uwa nakukubali sana chifu. Wewe ni shabiki wa soka kweli kweli. Penye ukweli unasema hata kama ukweli huo unaiumiza timu yako. Hivyo ndivyo shabiki anapaswa kuwa. Na siyo kuweka unazi tu hata kwa mambo ambayo yapo wazi.
Mabeki wa Arsenal walikuwa wmepanda sana na hivyo kumfanya Willian kutoa pasi ilopita katikati yao na kumkuta Costa.
Kwa hali hiyo ilitakiwa Mertesacker amwache tu Costa aende na kuomba Cech akabiiane nae na pengine hata Bellerinangeweza kumkuta Costa.
Ni about "decision making process", ukikosea tu mahali basi unaathiri mpango mzima.