Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Define a trophy man.....

are Two FA cups ina two years not TROPHIES?

Haters kindly find other way to troll arsenal you are embarassing yourselves
Two FA cups in more than ten years? And you want to be compared with your rivals?
 
Hapo nimekuelewa, kwahyo kumbe kombe moja wapo la Mr bean na fans wake ni wachezaji kuwa fit?
Ok, I got u boy
Sakapambo namaanisha kilichokuwa kikiwa cost Arsenal miaka yote ya karibuni ni majeruhi, kwa hio mwaka huu ni dalili nzuri sababu injury wote wanarudi kipindi kizuri.
 
Sakapambo namaanisha kilichokuwa kikiwa cost Arsenal miaka yote ya karibuni ni majeruhi, kwa hio mwaka huu ni dalili nzuri sababu injury wote wanarudi kipindi kizuri.
Hizi habari za majeruhi wakasimuliane huko vijiweni kwao, kwani kuna timu ambayo haipati majeruhi? And in terms of injuries that last longer ( more than ten days united ndio inaongoza)

Wanasema deni la uwanja, kuna timu ambayo haina madeni? Atl.Madrid imechukua LA liga hata kufika fainali uefa huku wachezaji wao wengi nyota wakiondoka wakiwa katika peak ( tores, Sergio kun, falcao, Costa, Arda lakini bado wanasumbua vigogo kule) suala la majeruhi na deni kuwa kigezo utalikuta kwa Mr bean na fans wake tu,
 


Habari zilizotinga muda si mrefu Prof anataka kufunga biashara ya paundi millioni 52
kwa hawa wachezaji wawili machachari, Lars Bender na Granit Xhaka kutoka
Bayer Leverkusen na Borussia Monchengladbach respectively.



"If I find the right quality I will do something. I love a bargain, who doesn’t love a bargain?"
Arsene Wenger, manager
 
Kwann A. Madrid iliamua kuwauza hao wachezaji wao na kwann wasikae nao kwa muda mrefu? Deni ni mzigo.
 

£52M kwa hao wachezaji 2 sio bargain....
 
Karibuni kwenye ulimwengu wa utajiri.......khe khe kheeeeeeeeeeee
 
Winger amewaambia wachezaji wake wajiandae kwa ugomvi na Diego Costa

 
Arsene Wenger close to agreeing two-year contract extension at Arsenal



''Arsene Wenger is set to accept a two-year contract extension
at Arsenal, according to reports. Wenger’s current deal is set to expire in the summer of 2017, with the Frenchman so far refusing to reveal his plans for the future.''

Wacha afaidi matunda aliyoyaleta Gunners, you can't buy class. Maana wapinzani wanatumbua mimacho, tu kisa wivu!
 
hio imekaa poa sana hiyo
 
Wengine tunatamani hiki kizee kiondoke lakini unashangaa kuna watu wanamuweka tu.!! Kuongeza mda wake ni dharau kwa wapenda mabadiliko na wapenda vikombe.
 
aise kesho lazima arsenal ipigwe na ipigwe tu ndo furaha yetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…