Ng'wanza Madaso
JF-Expert Member
- Oct 21, 2008
- 2,268
- 338
Duh hawa waandishi wanauliza maswali kama vile mahakamani? angekuwa mzee Ferguson asingewajibu na wasimfanye lolote wanamnyanyasa Wenger kwa sababu ni kocha wakigeni na akikataa kuwajibu basi inakuwa issue.
Nilisikia Chamakah aliyekuwa Bourdiex amesajiliwa na Arsenal. Ni kweli? Kama ndiyo mbona simuoni akicheza?
Mimi ni mshabiki wa Arsenal sana tu ila sipati sana habari zake
Je wewe unayechangia kwa jina la Arsene Wenger ndie Wenger wa ukweli au ni jina tu maana naona unatumia jina na picha yake
by the way nimesikitishwa sana na kitendo cha Aaron Ramsey kuvunjwa mguu wakati wa mechi na Stoke City. Ila nina imani atapona mapema kama wanavyosema madaktari wa timu yake
Waandishi "wanamwonea" Wenger.Duh hawa waandishi wanauliza maswali kama vile mahakamani? angekuwa mzee Ferguson asingewajibu na wasimfanye lolote wanamnyanyasa Wenger kwa sababu ni kocha wakigeni na akikataa kuwajibu basi inakuwa issue.
Duh hawa waandishi wanauliza maswali kama vile mahakamani? angekuwa mzee Ferguson asingewajibu na wasimfanye lolote wanamnyanyasa Wenger kwa sababu ni kocha wakigeni na akikataa kuwajibu basi inakuwa issue.
Mi naona maisha mabaya na mazuri ya hili chama yapo mikononi mwa Wenger!!!
bila fabregas hapa mambo magumu sana kwenye creativity.
mkuu kuna tatizo sana kwani tutakuwa tunapoteza mpira kila rahisi na kurushusu watoto watushambulie.wana pace sana si unawakumbuka walivyotusumbua kwaho.chris eagles atataka sifa sasa hivi.Kwa hii mechi sidhani kuna tatizo, wanatakiwa waweke goli la pili ili wacheze na cushion.