stable-negro
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 509
- 347
ukiona spurs wanaingia kwny kinyang'anyiro basi jua gunners wanakuwa mabingwa, kiukweli natamani niwaone spurs nafasi ya pili pale ili tumalize juu yao kama ilivyo adaUbingwa kwa gunners si kwa sababu mna kikosi bora na mnacheza vizuri, hapana. Hii itategemea man city na spurs ambao ndio washindani wenu wakubwa watafanyaje kwenye game zao. Naiona leichester city ikiishiwa pumzi na spurs wakiongeza kasi. Amini spurs watawatia pressure ile mbaya. Ukiiangalia spurs ndio timu ambayo ipo organized zaidi pale epl. Hawana majeruhi, wana game spirit, pia wana kikosi kikubwa kuweza kukaboliana na majeruhi kama watatokea.
Thats y nikasema unafuu wenu unategemea upande wa pili utafanya nini.pia ifahamike kuwa gunners wamecheza na kikosi ordinary sana mechi takriban ya 8 hii na bado wako top of the table.....hii ni dalili nzuri sana msimu huu
Siamini hii theory...mi naamini ubingwa unabeba kwa wewe kushinda game zakoThats y nikasema unafuu wenu unategemea upande wa pili utafanya nini.
Every day will be next week......khe khe khe eeeeeeeeeeeeeeeeeee..... #COYG
Next week the head boys will deliver.
sijawahi kuiamini spurs na hata hivi alivyo leo spurs atatoka kabisa hata hiyo top 4 hatokuwepo ila ninachokiona hiyo leceister ndiye unaemtabiri kwa jina la spurs, leceister me bado naiona ina nguvu tu na ndiye atasumbua hivi hivi mkizani pumzi imekata mnashangaa mnadroo na yeye anadroo mnashinda na yeye anashinda. Sijaona kuishiwa pumzi kwa leceister. Ngoja tuoneUbingwa kwa gunners si kwa sababu mna kikosi bora na mnacheza vizuri, hapana. Hii itategemea man city na spurs ambao ndio washindani wenu wakubwa watafanyaje kwenye game zao. Naiona leichester city ikiishiwa pumzi na spurs wakiongeza kasi. Amini spurs watawatia pressure ile mbaya. Ukiiangalia spurs ndio timu ambayo ipo organized zaidi pale epl. Hawana majeruhi, wana game spirit, pia wana kikosi kikubwa kuweza kukaboliana na majeruhi kama watatokea.
Leicester ni mbaya zaidi ya Spurs, Spurs sio mara ya kwanza wanafika hapa wakati huu! Hawa pumzi itakata tu, ila leicester wachukuliwe seriously!Ubingwa kwa gunners si kwa sababu mna kikosi bora na mnacheza vizuri, hapana. Hii itategemea man city na spurs ambao ndio washindani wenu wakubwa watafanyaje kwenye game zao. Naiona leichester city ikiishiwa pumzi na spurs wakiongeza kasi. Amini spurs watawatia pressure ile mbaya. Ukiiangalia spurs ndio timu ambayo ipo organized zaidi pale epl. Hawana majeruhi, wana game spirit, pia wana kikosi kikubwa kuweza kukaboliana na majeruhi kama watatokea.
Naona unatucheka. teeeeh, poa tu lakini mwaka huuu...Every day will be next week......khe khe khe eeeeeeeeeeeeeeeeeee..... #COYG
Hata kufungwa nayo ni matokeo.Pamoja na ubovu wa Chelsea msimu huu, jumapili hamtawafunga....lazima wapate matokeo hapo Emirates
Pamoja na ubovu wa Chelsea msimu huu, jumapili hamtawafunga....lazima wapate matokeo hapo Emirates
Chelsea wanq hali mbaya sana huwezi linganisha na manure.....mliwachapa ngapi vile? kabla hujasema ya ArsenalPamoja na ubovu wa Chelsea msimu huu, jumapili hamtawafunga....lazima wapate matokeo hapo Emirates
Mimi sijawacheka mimi Mbona nishakupeni baraka zangu zote mwaka wenu huu kasoro tu nyie Hamna imani na timu yenu.....Naona unatucheka. teeeeh, poa tu lakini mwaka huuu...
Players wakiwa fiti ndo makombe yenyewe hayoUnited, City and Chelsea fans celebrate trophies. Arsenal fans celebrate players coming back from injury
Define a trophy man.....United, City and Chelsea fans celebrate trophies. Arsenal fans celebrate players coming back from injury