Sababu ya Man City kufungwa sio ya kujitetea otherwise kama hutaki ubingwa.Kuwa bingwa hizi ndio mechi za kushinda kuonyesha tofauti kwa wapinzani wakoMkuu lakini Man City walipigwa 2-0 hapahapa Britannia.
Kweli kabisaSababu ya Man City kufungwa sio ya kujitetea otherwise kama hutaki ubingwa.Kuwa bingwa hizi ndio mechi za kushinda kuonyesha tofauti kwa wapinzani wako
Kheeeeeeeee bingwa huwa hatolewi jachoo banaaaa,msimu huu wenu.....wala hata sijali nani yupo juu yangu mimi nachojua bado point 7 tu nimfikie top of the league.....Hivi mna point ngapi vile? Usisahau Britania kuna upepo wa kufa mtu na kiwanja chao ni kibovu sana, Wacha iwe draw tuliwachabanga 2 mtungi Emirates wamei-prove kidogo. Khe khe khe he khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee Vipi Tottenham bado wako juu yenu au?
Chelsea watapaki bus ,mechi haitakuwa rahisiSawa lakini tulitaka angalu sare pale Anfield na Britannia.
Sasa tukifunika kabisa jumapili ijayo basi hakuna tatizo, tunakuwa na 5 points kutokana na hizi 3 important games.
Kheeeeeeeee bingwa huwa hatolewi jachoo banaaaa,msimu huu wenu.....wala hata sijali nani yupo juu yangu mimi nachojua bado point 7 tu nimfikie top of the league.....
Ni kwamba Britannia ni pagumu, kuna timu Iliwahi fungwa Britannia na bado zikachukua ndoo! Alafu ni kwa nini watu wengi waseme Araenal ndo tunachukua EPL wakati wa tano tumemzidi point saba tu? EPL title is there for the taking kwa timu kama sita hivi!Sababu ya Man City kufungwa sio ya kujitetea otherwise kama hutaki ubingwa.Kuwa bingwa hizi ndio mechi za kushinda kuonyesha tofauti kwa wapinzani wako
Huu ndio msimu wa Arsenal kuchukua ubingwa otherwise labda aje kocha mwingine,serious competitors wako kwenye hali mbaya.Unakumbuka mwaka gani ambao United,Chelsea na Liverpool wakiwa kwenye form mbovu kama hii tena JanuaryNi kwamba Britannia ni pagumu, kuna timu Iliwahi fungwa Britannia na bado zikachukua ndoo! Alafu ni kwa nini watu wengi waseme Araenal ndo tunachukua EPL wakati wa tano tumemzidi point saba tu? EPL title is there for the taking kwa timu kama sita hivi!
Wazipochukua season hii Bac watasubiri xn...Huu ndio msimu wa Arsenal kuchukua ubingwa otherwise labda aje kocha mwingine,serious competitors wako kwenye hali mbaya.Unakumbuka mwaka gani ambao United,Chelsea na Liverpool wakiwa kwenye form mbovu kama hii tena January
Huu ndio msimu wa Arsenal kuchukua ubingwa otherwise labda aje kocha mwingine,serious competitors wako kwenye hali mbaya.Unakumbuka mwaka gani ambao United,Chelsea na Liverpool wakiwa kwenye form mbovu kama hii tena January
Wazipochukua season hii Bac watasubiri xn...
Kumbe huna uhakika na timu yako aiseee......poyeeeee basi sisi ndo mabingwa......kheeeeeeUmeshatupatia ubingwa? Bado mechi nyingi sana na lazima ufahamu motisha wa pesa za kuwa nafasi ya juu ni kubwa sana. (FYI the bottom team last season walilipwa approx 68 million paunds na timu iliyokuwa juu yao times one and half (102 million) and the one on top of that times one and half. Ndio sababu ushindani unakuwa mkubwa sana. Uzuri wa Gunners hivi sasa kikosi ni kikubwa na wachezaji majeruhi wanarejea hivyo kuanzia mwezi ujao mchezo wetu utabadilika sana na timu pinzani wajiandae na kapu la magoli. Ding .... Dong.