alexis ni pengo,kuna nishat haipo arsenal,pia wenger anafanya kosa lile la kumtoa campbel,iltakiwa amuingze arteta tu,campbel anakaba sanaKops wamejitahidi, one of those days, we are OK so far hatukupoteza game Loser fools hongera zao kwa sababu tumepoteza point 4 kutoka kwao musimu huu, labda tukutane nao tena kwenye FA cup vinginevyo tumemalizana nao. Kuanzia wiki ijayo Alexis atakuwepo kumsaidia OG.
Nimekuwa very dissapointed, ila point moja si mbaya ukilinganisha na wapinzani wetu na matokeo makubwa, kila tukicheza OPEN FOOTBALL na timu zinazo PRESS sana huwa tunashindwa kuzikabili, HASA tunapokuwa na Flamini, huyu jamaa huwa naona anatoa maelekezo sana kwa wenzake uwanjani badala ya kucheza, always gesticulating on the pitch!tumefungwa goli la 3 rahisi sana....ili tushinde huu msimu inabidi tuwafanye waogope ila tunashindwa kufanya hivyo; kwa matokeo ya leo kiukweli nimekuwa disappointed sana
Alitakiwa amtoe giroud
Tehetehe tehehe ndo kazi ya usaga sumu lazima usage kotekote.......kwa kweli mtani sitakubali hilo litokee nitarara na wewe mbele kwa mbele( in Magufuli's voice),mimi siko poa lakini jogoo nitalichinja.
Kummiss Alexis labda sababu ya kukaba, ila Campbell nae anakaba balaa! Sidhani kama tumemmiss sana Alexis hasa mechi ya jana! Tunammiss sana Le Coq. Hili ndo pengo ambalo linaweza kutugharim, flamini na Arteta hii namba hawaiwezi tena, angalau Chambers maana dhidi ya Sunderland chambers aliimiliki DM fresh kabisa! Le Coq ndo tunammiss na sio jamaa wa Fc Basil toka ligi ndogo ndo wa kutuvusha!alexis ni pengo,kuna nishat haipo arsenal,pia wenger anafanya kosa lile la kumtoa campbel,iltakiwa amuingze arteta tu,campbel anakaba sana
OG mzuri sana akipewa mpira, he holds up the ball na kuruhusu wenzake wajipange! Mechi ya jana ilikuwa inamhusu! Pia aerial balls yuko useful on both ends of the pitch.Alitakiwa amtoe giroud
In a typical English game iliyokolezwa na mvua, Arsenal huwa hatuperform. I cant wait for Sunday, hopefully it never rains against Stoke, maana itakuwa sawa na game imepelekwa uwanja wa Twickenham stadium! Nafikiri wanipata.Wakuu wa Gunners hakuna wasi wasi our home run is good na Alexis anarejea maana Theo kavurunda leo kwa goli la kwanza na Cech -mate goli la tatu too soft. I can understand Wenger's anger. Wachezaji wamepata kila kitu mvua, snow na baridi.
Akirudi Coq tunafunga biashara in two weeks.
Huyu kijana ni mzuri. Ana style ya Patrick Vieira. Kwa acceleration anakaribiana na Ramsey, OX-Chamb na Bellerin.![]()
Arsenal signing Mohamed Elneny targets all three trophies this season after midfielder completes £5m move from Basle