Ni kweli....mkiwa na timu hii hii bila majeruhi wengi mnachukua ubingwa lakini akiumia Ozil au Giroud,yes Giroud, mta struggle.Tunamsubiri Alexis arudi kwenye timu pamoja na wachezaji wawili watatu wapya kama Prof alivyohidi, mwaka huu timu zote zilizokuwa promoted wamejitahidi sana kutokana na pesa za TV. Kama Prof aki-manage vizuri wachezaji majeruhi sioni timu ya kuisumbua Gunners kwenye mzunguko wa pili.
Yaani wasipokuwa mabingwa safari hii tuwape ban tufunge uzi wao kabisaaa..... mimi nitaanza na @Wacha 1
Man utd wako 9pts behind na perfomance zake hazileti matumaini,tulikuwa na fixture list very favourable lakini hatujashinda tangu november 21 mpaka tumebahatisha leo,hio ni midtable form.
Liverpool sisemi chochote ila ni afadhali ya man utd. Palace,hammers come on......u r joking right? Spurs still a small team hawawezi kuchukua ubingwa.
Man city, iwapo Arsenal mkiteleza city ndio anachukua kombe lakini its in your hands.
Usajili Updates:
Baada ya kusumbuliwa sana na Newcastle siku ya jumamosi na kuambulia goli muhimu ambalo pia lilifungwa na Boss, Arsenal wana mawazo ya kufanya usajili mwingine baada ya ule wa Mohamed Elneny kukamilika wiki ijayo.
Pierre Emerick Aubameyang ameibuka kuwa mmoja wa targets mbili ambazo Arsenal wanazifuatilia.
Mshambuliaji wa Borrusia Dortmund Aubameyang ambae Arsenal walijaribu kumsajili mwaka jana.
Mchezaji huyu amewekewa kiasi kama cha milioni 42 hivi.
Itakumbukwa kwamba Mesut Ozil alisajiliwa kwa kiasi hikihiki cha milioni 42 hivyo hii kusisitiza umuhimu wa mchezaji huyu.
Pia Borrusia Dortmund wanajiandaa kumsajili mshambuliaji Romelu Lukaku wa Everton hivyo kuthibitisha uondokaji wa Aubameyang.
Meneja wa Liverpool Jurgen Klopp ambae alikuwa meneja wa Aubameyang pale Dortmund anataka kuingilia mpango huo na kumvutia kwa Liverpool mchezaji huyo ambae pia ni mshambuliaji wa timu ya taifa ya Gabon.

heHii ni habari njema mkuu Richard endapo itatokea hivyo itakuwa poa sana but ki uhalisia imekuwa ni nadra sana Wenger kufanya usajili wa maana january na ye amekuwa akiamini kuwa tumu nyingi huwa hazitaki kuwaachia wachezaji wao January, na binafsi sina hakika kam Dortmound watakuwa tayari kumuachia jamaa hii january na pia kwa thaman yake hiyo mzee Wenger atakuwa tayari kuvunja tena benk? maybe kwasababu safari hii kadhamiria kufukuzia ubingwa inawezekana ngoja tusubiri ndank ya hizo siku kumi alizozisema.

...tunashinda tatu hapo,tuta draw moja tu na stoke city.Mechi 4 zijazo zitatuonyesha kama kweli tupo kugombania ubingwa. These are make or break games.
Liverpool vs Arsenal
Stoke City vs Arsenal
Arsenal vs Chelsea
Arsenal vs Southampton
Tukiondoka na 2 wins na 2 draws tutakuwa tumefanya vizuri
B Dortmund wameweka ngumu kumwachia mchezaji wao kununuliwa na Gunners kwa kiasi cha paundi million 42 ..... habari za ndani zinasema wanahitaji angalau millioni 60. Hilo halitawezekana Le Prof inabidi aangalie wachezaji wengine. hana ubavu wa kuwa mchezaji wa hizo pesa maana EPL sio lelemama.
Usajili Updates:
Pierre-Emerick Aubameyang
Mkuu Arsenal wapo na Aubemayang wameongeza dau na wameweka mezani milioni 44.6 kwa mchezaji bora wa Africa.
Na hizi habari zinatoka ndani kabisa.
Pia Arsenal wanzungumza na PSG kuhusu Adrien Rabiot na PSG wanataka milioni 15 hivi.
Ikiwa mambo yote yatakwenda kama inavyopangwa basi hao ni wachezaji wawili kati ya watatu ambao Arsenal inawahitaji mwezi huu.
Victor Wanyama yeye ni Julai kuja kuziba nafasi za Arteta na Flamini.
Wachezaji kama Joel Campbell huenda akaenda Galasaray kumpisha Rabiot na Mathieu Debuchy
huenda akaenda Roma ya Italy kwa mkopo au moja kwa moja.
Sedge Gnabry anakwenda Brighton kujiendeleza zaidi.
Wenger sasa amegundua kwamba uzoefu ndio tija na hataki kuchezea bahati iliopo na hataki kuwatumia wadogo watakaochea na Sunderland Jumamosi kwenye FA cup.
Updates zaidi zinakuja.