Ramsey, K6, Nacho they are good squad players they are not at that level. Hector is exceptional he is growing up quit well and if his progress is not deltered he will be our own Cafu but for now he is developing.
Yuko vizuri ama?Usajili wa Mohamed Elnany -Update
Elnany anafanyiwa medical leo jijini Paris na pia ameombewa work permit London.
Kama kila kitu kitakwenda sawa Elnany atatangazwa mchezaji wa Arsenal baada ya mwaka mpya yaani kabla ya weekend au ndani ya wiki ijayo.
Another Midcore player of Wenger CaliberYuko vizuri ama?
Naona tunaweza kumaliza mwaka tukiwa juu. Msimu huu tusipoondoka na makombe 3 nitauza Bajaj yangu.
Naona tunaweza kumaliza mwaka tukiwa juu. Msimu huu tusipoondoka na makombe 3 nitauza Bajaj yangu.
Yuko vizuri ama?
Another Midcore player of Wenger Caliber
Wakuu huyu ni long term subject na ni future replacement ya Cazorla.
Yule wa Sevilla au Victor Wanyama ni hapo wakati wa usajili mkubwa kuja kuchukua nafasi za Flamini, Arteta na Rosicky.
Halafu Jack Wilshere bado iko majeruhi.
Pia kuna uwezekano mwezi ujao akasajiliwa mshambuliaji kwa njia ya mkopo maana Mesut Ozil jana alitengeneza vyumba 4 na Theo Walcott akashindwa kumalizia ingekuwa goli zaidi ya 6.
Ozil alikuwa hajapenda hio.
Kuhusu Mohamed Elnany
Ana umri wa miaka 23
Ni mchezaji wa kimataifa wa kiungo wa Misri na mabingwa wa Uswiss Basel.
Amechezea tomu ya nchi yake mara 39 tangia mwaka 2011
Alijiunga na absel mwaka 2013 akitokea timu ya Mokawloon ya Misri.
Akiwa Basel timu hiyo imetwaa ubingwa wa ligi ya Uswiss mara tatu.
Ni kiungo ambae anacheza sana ndani "deep" yaani nyuma lakini ni mtoaji pasi mzuri.
Wakuu huyu ni long term subject na ni future replacement ya Cazorla.
Yule wa Sevilla au Victor Wanyama ni hapo wakati wa usajili mkubwa kuja kuchukua nafasi za Flamini, Arteta na Rosicky.
Halafu Jack Wilshere bado iko majeruhi na pia Coquelin anatarajiwa kurudi mwezi February.
Pia kuna uwezekano mwezi ujao akasajiliwa mshambuliaji kwa njia ya mkopo maana Mesut Ozil jana alitengeneza vyumba 4 na Theo Walcott akashindwa kumalizia ingekuwa goli zaidi ya 6.
Ozil alikuwa hajapenda hio.
Kuhusu Mohamed Elnany
Ana umri wa miaka 23
Ni mchezaji wa kimataifa wa kiungo wa Misri na mabingwa wa Uswiss Basel.
Amechezea timu ya nchi yake mara 39 tangia mwaka 2011
Alijiunga na Basel mwaka 2013 akitokea timu ya Mokawloon ya Misri.
Akiwa Basel timu hiyo imetwaa ubingwa wa ligi ya Uswiss mara tatu.
Ni kiungo ambae anacheza sana ndani "deep" yaani nyuma lakini ni mtoaji pasi mzuri.
Barcelona atakalishwa tu. Tutawawashia moto kama serikali ya Magufuli inavyowawashia watu wa TRA na Bandarini.I hope humaanishi unalolisema.
Cl Barca unamtolea wapi!?
kikombe cha chai tulishatolewa.
Tunabaki na FA na EPL by which FA haitabiliki inategemea umeamkaje siku hiyo. Ukiamka vibaya watoto wanachezea shwarubu tu.
EPL ni marathon subiri subiri tuimalize February kisha pima maneno yako kama ubavu upo au ndo yale yale ya miaka hii 11 ya kukikosa. Ikifika February baiskeli yetu ya barafu joto likizidi inayeyuka mwisho wa safari tunaanza kutembea kwa azimio la Arusha kumalizia Safari
k
Barcelona atakalishwa tu. Tutawawashia moto kama serikali ya Magufuli inavyowawashia watu wa TRA na Bandarini.
Ukimuondoa Zizu, Ronadinho, Messi, George Haghi (Sijui kama mnamkumbuka) , JJ Okocha ambao uwezo wao haukuwa wa kificho wachezaji wengine wote ukiwataguta Youtube hakuna aliyewahi kuonekana mbaya. Wote wa moto tu na watamu
Cheki unavyojichanganya hapa
We wadhani ULAYA hakuna Scouts? unadhani wachezaji wananunuliwa kupitia Clips za Youtube? be serious man
Wachezaji alowanunua Wenger na kuwalete na wakafanikiwa 90% walikuwa UNKNOWNS
we Fransic Coquelin, kos, Vieira, na wengi wengi tu Idadi kubwa tu ULIWAJUA? ebu acheni UJUAJI usio maana
Its better tubakie kuwa mashabiki tu kuliko kuingilia kazi za watu....
ulaya hata KUFUATILIA MCHEZAJI ni Professional za watu hizo
Santos kweli Sikumfahamu.
Batista sikumfahamu
MERIDA sikumfahamu
Denilison sikumfahamu
Squilasch sikumgahamu
Pernat sikumfahamu
Bentley sikumfahamu
WENGI tu sikuwafahamu
Ila walioshindwa na kufanikiwa wengi ni walioshindwa na yet kuna scouts.
Mwisho wa siku sisi ni Mashabiki tu
Mkuu hao wachezaji wote ulowataja Wenger aliwasajili wakati wa shida yaani uwanja mpya ulipokuwa ukijengwa.
Tangu Arsenal ihamie Emirates wanajitahidi kusafanya usajili waa maana kama wa Mesut Ozil na Alexis Sanchez.
Wenger huwa hapendi kufanya usajili mkubwa mwezi January isipokuwa wakati wa summer.
Wewe subiri utaona usajili wa mwaka huu mwezi Juni /Julai,maana wanaondoka Flamini, Rosicky na Arteta atabakizwa aje kuwa kocha msaidizi.