Arsenal (The Gunners) | Special Thread


Kweli kabisa kaka manake hata Wenger baada ya game akihojiwa na Fabregas ktk sky sports wanadai ktk ligi ya England timu zote zinazo kutana na Arsenal mbunu yao ni kucheza faulo na mpira wa maguvu sasa sijui kwanini na Fabregas akaenda mbele zaidi kusema kuwa hawalindwi kabisa ile ilikuwa ni noma sana mazee yaani hata replay hawakuonyesha
 
Chelsick msikimbie jitokezeni ndio PL hiyo sio mnaibuka tukifungwa tu.

Mkuu naona The Sun tayari wameweka picha ya Ramsey akiwa ameumia,dogo kaumia vibaya sana yaani,inasikitisha mno hiyo picha,mguu umekatika(umepinda aisee)..Mkuu kama vp ishushe basi hiyo picha hapa...So sad wakuu...Hope atapona haraka
 
Dogo kaumia vibaya sana wazee si unauona mguu huo

 
Hawa madogo wa Arsenal lazima waumizwe sana maana movements zao zinakaribisha injury mbaya. Angalia mfano wa Walcott na uchezaji wake, ni wazi kuumia ni rahisi sana. Riadha nyingi.

Nway, ndio maisha haya. Dogo ndio hivo akipona abadilishe profesheni.
 
Noma kweli yaani
 

Attachments

  • Aaron_Ramsey_after__995519a.jpg
    50.6 KB · Views: 24

Huyu ndiye culprit.





ANGUISH ... Aaron Ramsey after his horror leg-break
 
Tatizo jingine la ligi ya uingereza vilevile ni rugby nyingi na waaamuzi wanaona pouwa tu. Sasa haya ndio matokeo yake.
 

Sema inatokea tu bana,we si umeona yule dogo alivomvaa Ramsey...Atapona na ataendelea kukipiga kama kawa,Eduardo alivoumia hakuna aliyetegema angerudi kucheza soka mapema vile...Tumuombee tu apone haraka
 
Naona hata game imepoa sana..hope AW will get excuse from that basis at the end of the season although ni sehemu ya mchezo. Poor young boy.
Hivi kikoc cha France dogo hana nafasi huyu?
Ramsey sio mfaransa ni m welsh
 
Aaron Ramsey kavunjika mguu vibaya sana...: No, no, no. Even Referee Ryan Shawcross looks traumatised by this - as are a lot of other players. Aaron Ramsey has suffered a horrific injury after a tackle by the Stoke defender. They aren't replaying the incident. I'm not surprised. Ramsey was holding his injured leg up in the aftermath and it was not at the right angle in any way. Horrible.
 
Tatizo jingine la ligi ya uingereza vilevile ni rugby nyingi na waaamuzi wanaona pouwa tu. Sasa haya ndio matokeo yake.

Talking of Rugby England wamepigwa 20-16 na Ireland. Hivi huu mchezo una raha gani jamani?
 

ANGUISH ... Aaron Ramsey after his horror leg-break



Ramsey will be transfered to London tonight and if possible an operation will be underway Arsene wenger was livid with the injury and he has said categorically that the three match ban is not enough ......

Si uliona Fabregas na Campbell walivyomvaa refa hata ile penalty nyingine alinyima lakini baada ya Ramsey kuumia ndio anajifanya ati kutoa kadi mshenzi kabisa.

Anyway ubingwa mwaka huu ni wetu wengine wasindikizaji tu ndio sababu unaona wapinzani leo kwishnei maana wanajua nini kitafuata.
 
Hapo pekundu hilo jina ni mchezaji wa Stoke sio Refarii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…