kwanini unaumia moyo mkuu, ni ruksa kabisa kuhama
Mkuu naipenda sana Arsenal.Ningekwisha hamia liver lakini kumbukumbu za Arsenal huwa hazinitoki.Siwezi acha kuipenda Arsenal.
rubaman niaje arifu? Balantanda is always here... BAK upo wapi kaka? kashengo vipi kamanda? Viper dah mazee umepotea sana mzee! MwafrikaHalisi wapi kaka?
wakuu hivi kuna uwezekano wowote kwa Chama letu the gunners kupenya kwenye 16 bora ya uefa msimu huu??

kwa jinsi ligi msimu huu ilivyo, Asenali walipaswa kuwa kileleni kwa takribani tofauti ya points 6. tatizo lilopo Ni kwa kocha kutokuwa na ile spirit ya kukomandi timu. angalia game zote walizodondosha points, Ni game ambazo walipaswa kupata matokeo ila kwa vile kocha hana ile amsha amsha ya kuwapump wachezaji, basi timu inacheza kinyonge na kujikuta ikishindwa kupata matokeo. ila kama wakijitahidi kidogo kwa kuongeza umakini, msimu huu kwapa zinaweza kunyanyulika na hatimaye lile Vumbi lilijaa kabatini sehemu yanapokaa makombe ya EPL likafutika!