Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Wanasikitika sana maana watarudi Europa.......

Wanatakiwa kupindua zile 3:2 ili wawe juu ya wagiriki ni km mtoano wao kwa wao coz wanaangalia matokeo baina yao so wakishinda 1;0...2:1. ni WAY TO EUROPA LEAGUE
 

chambers bure kabisa,hawez kucheza pale,game ya jana kapoteza tu mipira
 


Prof kama kawa akiingia Emirates ... .....





All set for the match .... .... .. .







Ozil baada ya kuweka chuma wavuni .... ..... ....
 


Ozil at his best ... . ..



Joe Campbell alikuwepo .... ..



Santi kama kawa ... .





OG anampongeza Ozil ... .... .





Per ... ..... . .



Alexis .... .... . akiweka chuma wavuni ....























Rambo was back



Done and dusted .... ... Ding ... dong.
 
Wakuu tunatakiwa kushinda mechi ya mwisho tarehe 9 December kwa ushindi wa zaidi ya magoli mawili (ie 3-0; 3-1; 4-2 etc) ili tuingia kwenye knock out stages ... ...... Prof knows ... .. Ding ... Dong.

Nafahamu vimburukenge vimeanza kusema ati Munchen wanatuchubiri ...... ...... khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee e hayo ni maombi matakatifu yaani tutakumbana nao kwenye fainali panapo majaliwa.....COYG


To qualify:
Gunners must beat Olympiacos in Greece on the final match day by more than two goals - or by one goal if they score at least four.
 

Yeah ni 2-0, 3-1, 4-3 Nk....
 
Endeleeni kujifaliji teeeh teeeh

Wala hatuna shaka kama tusipojifariji utatufajiri wewe? Wacha wivu wa kike, Gunners tupo uzuri tu wala usianze kuwewesekaweweseka ..... ..... .. khe khe khe khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee.
 
yuko wapi krystian bielik? kwa nn asicheze namba sita azibe pengo la coqlien
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…