Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Big up WBA mmefabya kweli japo possesion 28% tu.....The Mandaz kimya Wacha 1 kuja hapa !!!
Muhudumu nyingine tafadhali!!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
...oups; my arsenal...!!!
Wenger nunua striker..?!
Tafuta kiungo mkabaji..?!
Very thin squad...
then you really believe you will win the league..?!!
alwayz predictable as usual..!!
 
na penat wamepewa lakin wapiiiii ........... kuongoza ligi mnafikiri ni makalio, kila mmoja anayo.
 
Hodi hodi humundani.

Naomba munipokee maturubahi pamoja na mikaka hii.
 


Santi carzola slips ... .... while taking a pen ...
Uwanja wa matope kama wa Chelsick ooops Cow shed ... .





Arteta alitoa zawadi hapa .. .... ..





Wakuu topo kwenye marathon ..... ....



OG akifunga goli la kwanza kwa Gunners ... ..



Baada ya kurudi kwenye Internationals .....



Alexis feels the pain after missing the chance ... .
 




Wakiimba wimbo wa taifa wa France kabla ya mtanange ... .

Kuvunjika kwa koleo sio mwisho wa uhunzi ... .... ... .... Next CL J4 Emirates ..... .
 
Ndo matokeo ya mpira...poleni majirani...

Wacha fujo we Mentor i n g I d i o t s oooops mungiki Brother umefufuka lini? Au flying toilets zimekuchosha? Khe khe ke khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee BTW huna kwa kukimbilia siku hizi maana Chelsickh na mancs wote hoe hae tu khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Last edited by a moderator:
Naona mnajitutumua kwa picha...weka picha za mtanange wote bana...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…