Mwaka huu tunagombania PL kwa 25,000% hata ikibidi tuchakachue points kupata ndoo ya ligi as CCM walivyofanya itabidi tufanye.. Bayern Munich wanazidi kutushindilia lol
Ligi ipi mnaweza kuchukua nyie?! labda impelekwe ligi ya wanawake , FA Cup ndio mnaweza kubeba mana ndio makombe yenu, mjitahidi mkifika huko FUTUHI League mlete changamoto, sio mnafungwa tena 5 kama mlikua pungufu.