Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Gab ...... ... . n Costa

Chambers is for Coq yale maumivu imebidi apumnzike
 
Francis Coquelin ametolewa na Calum Chambers amechukua nafasi yake.
 
Zuma scores 1 down ...... ... thats the only way mafioso can win .... ......
Prof atafanya mabadiliko we need to fight for this game COYG
 
Leo yatakuwa mengi hapa...na Morinyo alivyo na hasira na majeruhi ya Premier League
 
Wenger amtoe Mesut Ozil na Santi Cazorla, Giroud na Ox waingie.
 
Siangalii mpira. RED ilikuwaje,Goli pia? Naona wanasema FK iliyozalisha goli haikuwa sahihi..Mike Dean na gundu lake kwetu linasababisha maovu
 
Olivier Giroud atasaidia kuweka mpira eneo la Chelsea hivyo kuwafanya Arsenal wasikae sana eneo lao.

Dakika inakwenda ya 70
 
Siangalii mpira. RED ilikuwaje,Goli pia? Naona wanasema FK iliyozalisha goli haikuwa sahihi..Mike Dean na gundu lake kwetu linasababisha maovu

Mtani basi tena hii game mshalala ......kwa jinsi walivyo watalilinda hilo goal balaa...
 
Alex Oxlade Chamberlain na Giroud wanaingia badala ya Alexis Sanchez n Mesut Ozil.

Sanasana itabidi Arsenal wahakikishe hawafungwi na wanatoa sare mechi hii kama wataongeza nguvu ya mashambulizi.
 
Alex Oxlade Chamberlain anaingia badala ya Alexis Sanchez.

Sanasana itabidi Arsenal wahakikishe hawafungwi na wanatoa sare mechi hii kama wataongeza nguvu ya mashambulizi.

Gamble
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…