Habari za mapumzikoni ni kwamba Arsenal watapinga hio kadi ya njano na pia FA wataangalia vitendo vya Diego Costa kwa kungalia pia taarifa ya Mike Dean.
Kama Mike Dean atasema hakuona Costa akimpiga usoni Laurent Colcielyn basi wataangalia video evidence na kubadilisha kadi kuwa nyekundu.