Arsenal (The Gunners) | Special Thread


hahahah, ati nae anapiga biti....gunners are on the way coming
 

You look to players? Falcao 4 example? Y lie? Uv always looked at the table bt now tha table has been turned!
 
babu wenger angetushushia world class striker na dm tungekula sahani moja vzuri na mcfc
 
Anajipa matumaini tu, anapigwa tena mechi ijayo.
 


OG opens his scoring campaign ...... Ding ... Dong
 


Alexis is more sharper now .... ... .



Theo does what is best .... ... Ding .... Dong






Prof sasa anajiandaa na CL away game .... ..... .
 
Aiseeeeeee Nitaanza kuwa active sasa, maana nikishaoa mwezi wa 10 itakuwa full Burdani...
 
cute b ntafutie hawa watu apo au wameshuka daraja hahahahahaha

Mamaaaaaaa yaani wew unawatafuta the buluzi huku kwenye 13 bora? Huwezi wapata wewe watafute kwenye 15-20 bora hahahaha
 
Last edited by a moderator:
Baada ya timu za Manchester kuaibisha, kesho ni zamu ya timu za london kuonyesha uwezo wao ndani ya UCL.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…