Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Okei, asante sana kwa kunielewesha hilo.
 
sina imani na utendaji kazi wa bwana Arsene Wenger hususani katika ishu nzima ya kufanya usajili makini. Mzee analala sana! Matokeo yoyote mabovu ambayo arsenal itayapata yatakuwa ni juu yako bwana Wenger. Umeyataka mwenyewe, you have got no excuse!
 
Transfer updates

Wenger amemsajili rasmi Petr Cech. Timu ya Arsenal imekamilisha kikosi chake kwa kushinda bahati nasifu ya kuleta world class keeper.

Na Arsenal itaendelea kutetea kuwa katika top 4.

Ukiwa shabiki wa Arsenal, unatakiwa uwe na roho ya paka na moyo wa titanium alloy.

Prof. alishasema ni baada ya mechi 15 ndio mwelekeo wa EPL utajulikana.
 
TRANSFER UPDATE:
Hatimaye arsene wenger amesajil striker kwa £25mill na amesaini mkataba wa miaka 4
 

Attachments

  • 1441095139251.jpg
    40.3 KB · Views: 170
Shida ya Wenger ni umri na ukabila.Anafanya vitu viwili kwa pamoja kukuza vipaji kwa ajili ya biashara na Kuboresha timu ya taifa ya Ufaransa.
 

tushajizoelea na mzee wetu ubishi tu.
 
Namshukuru wenger sana kwa kunipunguzia jero zangu za mpira kila wikiendi sasa sibishani tena wenzangu wana Aguero mimi nina Girouid aibu ii
 
Aya richard njoo na ngonjera mpya mzee kaenda Paris kusalimia kwao nyie mnajua kaenda kufanya usajili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…