NEWS ALERT!!!! TRANSFER UPDATE
Wakuu, niaje?
Baada ya sakata ndeefu leo Arsenal kimyakimya wameweka paundi 48milioni mezani kwa Real Madrid na inaweza kukubaliwa kwa Karim Benzema.
Karim Benzema
Ikumbukwe Arsenal wamekwishaenda mara mbili kwa 35 M na 45M na zote zikakataliwa hivyo wameongeza dau kuona kama deal litaenda through.
Benzema amezungumza na raisi wa timu hiyo bwana Florentino Perez Rodriguez na kuomba asajiliwe na Arsenal.
Ila Real Madrid hawako tayari mpaka watakapomsajili mshambuliaji mwingine kuziba nafasi ya Benzema na wanazungumzwa Marco Reus na Gonzalo Higuaín.
Kuna mchezaji mwingine wa kiungo anatafuatiliwa.
Huyu ni kiungo wa Poland na anaitwa Grzegorz Krychowiak.
Grzegorz Krychowiak
Krychowiak ni DM mahiri wa timu ya Sevilla ya Spain.
Habari zaidi ndani ya masaa 24, na ntarudi hapa.
Alhamisi 20 August 2015
Updates kabla ya mechi na Liverpool jumatatu uwanjani Emirates.
Meneja Arsene Wenger anasema hakuna majeruhi baada ya mechi na Crystal Palace.
Hector Bellerin huenda akaanza tena kucheza kama mlinzi wa upande wa kulia.