barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,405
- 29,811
Nadhani Chelsea wanafanyaga maksudi kutuuzia mishipa, mwanzo ilikuwa Gallas safari hii ni Cech lol
Prof atawaingiza Theo au Ox kipindi cha pili ..... ..... .. anatakiwa mchezaji pale mbele wa kumalizia Alexis needs more time.
Man u huwa anapiga hapo Liverpool ndio kigingi chao na safari ya ubingwa EPL Iliishia hapohiki kiwanja ni kigumu, liver wanakijua vizuri, chelsea wanakijua, mancity wanakijua sina uhakika na manu!