Hata Giroud anajua amebahatisha.
Mechi mbili amekula goli 3. Kipa kweli mnaye.
Nadhani Chelsea wanafanyaga maksudi kutuuzia mishipa, mwanzo ilikuwa Gallas safari hii ni Cech lol
Nadhani Chelsea wanafanyaga maksudi kutuuzia mishipa, mwanzo ilikuwa Gallas safari hii ni Cech lol
Ila kizuri mpira unachezeka, sio kama wale wazee wa trertford end, flukes kwenda mbele!